Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Wakati bongo ndio kwanza unakimbizana na semester ya kwanza.19 yrs tu tayari anaanza kuenjoy life.
Inaelekea unafanyakazi TRA, itabidi mumfungie safari awape maelezo!Tupe vyanzo vyake vya mapato
Forex tradingTupe vyanzo vyake vya mapato
Sisi tunataka mwanasoka aliyezaliwa kwenye shida na akaja kuwa tajiri kutokana na kipato cha mpira siyo hao waliorithi.Huyu hatafika mbali,mpira ni mgumu tajiri hawezi kunufaika exell19 yrs tu tayari anaanza kuenjoy life.