Huyu ndio mchumba/mpenzi wa King Ali Kiba

Mzungu wa kutengeneza, ole wake siku mshkaji akiishiwa, huyu dem lazima amkimbie maana hawez kukubali kurudia ngozi yake ya asili

Labda anampenda kweli.
 
Nimewashangaa sana wenzangu!!What if kweli ndo mpenzi wa Kiba?mmesema mbaya,mzee,kakomaa!!Its his choice,nna uhakika sisi tukitupiamo picha zetu ni vituko zaidi ya 'wifi',hatuwezi kumpangia nyoka tundu la kuingia,hatujui utamu wa tundu lenyewe!!ni sawa kumpangia dimond tundu la kuingia!!#absurd#,I tend to deffer hapa!
 

word......word
 
Wote mmeangalia bod, kiba km tabia inalipa weka ndani mwana kwan nn
 

Attachments

  • 1420281712256.jpg
    51.2 KB · Views: 533
  • 1420281735292.jpg
    60.1 KB · Views: 519
  • 1420281752282.jpg
    64 KB · Views: 507
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…