Huyu ndio msanii pekee mwenye beef na Diamond hapa bongo

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
1185007_10151921923751015_1084041969_n.jpg

chanzo kilianzia pale alipodai kuibia nyimbo ya nataka kulewa kuanzia imekua ni vita ya maneno patashika nguo kuchanika kalia kuliko zote ni juzi pale kwenye show ya fuse odg aka mzee wa azonto h baba alitumia zaidi ya dk kadhaa kushambulua diamond kwa maneno makali na kasi ya ajabu zaidi ya mkuki
 
KUmekucha ngoja watetezi wa Diamond waje
 
kweli kabisa na huyu ana tatizo la wivu wa kijinga.
 
aliwah kutafuta kick kupitia uwoya ikawa failure, akajitutumua mauno kugandamizia kwa fall ipupa ikawa failure, bongo movies kajaribu ikawa failure, kuimba ikawa failure, kandanda failure, sasa kamganda diamond, yaan kama mchele ni pishori na kitumbo
 
Teh teh teh teh teh.
 
mbona hamsemi mke wake sijui hawara yake ni mwizi mkubwa alimuibia mtoto wa kigogo mmoja (wa kiume) simu mbili bagamoyo baada ya kupata bed and breakfast wote na kulipwa 30,000

vile vile alishawahi mwibia mwenzake laki nne kwenye atm
 
wivu wa kike hapana, nadhan kutafuta kick awe kwenye peek, ila yote yanawezekana, nywele katia binzali, ndevu kaweka iyomb.oo,
 
Yah uyo jamaa hana jipya sana,Kuna time alikua anahojiwa pia akawa eti anajisifu kumilik extrail new model yani ana compare extrail na prado......ni failure for real.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mbona hamsemi mke wake sijui hawara yake ni mwizi mkubwa alimuibia mtoto wa kigogo mmoja (wa kiume) simu mbili bagamoyo baada ya kupata bed and breakfast wote na kulipwa 30,000

vile vile alishawahi mwibia mwenzake laki nne kwenye atm

Ni nani huyo?
 
Back
Top Bottom