chanzo kilianzia pale alipodai kuibia nyimbo ya nataka kulewa kuanzia imekua ni vita ya maneno patashika nguo kuchanika kalia kuliko zote ni juzi pale kwenye show ya fuse odg aka mzee wa azonto h baba alitumia zaidi ya dk kadhaa kushambulua diamond kwa maneno makali na kasi ya ajabu zaidi ya mkuki
Hizi nywele zinanikumbusha enzi ya Defao.
Hizi nywele zinanikumbusha enzi ya Defao.
aliwah kutafuta kick kupitia uwoya ikawa failure, akajitutumua mauno kugandamizia kwa fall ipupa ikawa failure, bongo movies kajaribu ikawa failure, kuimba ikawa failure, kandanda failure, sasa kamganda diamond, yaan kama mchele ni pishori na kitumbo
KUmekucha ngoja watetezi wa Diamond waje
Hizo nywele na huo mwili kubwa jinga.com
Hizi nywele zinanikumbusha enzi ya Defao.
mbona hamsemi mke wake sijui hawara yake ni mwizi mkubwa alimuibia mtoto wa kigogo mmoja (wa kiume) simu mbili bagamoyo baada ya kupata bed and breakfast wote na kulipwa 30,000
vile vile alishawahi mwibia mwenzake laki nne kwenye atm
Anaitwa nani huyu?
Anaitwa nani huyu?