Huyu ndio msanii pekee mwenye beef na Diamond hapa bongo

Huyo naye ni msanii au ndo punda mbeba mizigo tu.
 
aliwah kutafuta kick kupitia uwoya ikawa failure, akajitutumua mauno kugandamizia kwa fall ipupa ikawa failure, bongo movies kajaribu ikawa failure, kuimba ikawa failure, kandanda failure, sasa kamganda diamond, yaan kama mchele ni pishori na kitumbo

Akaja na mradi wa kutengeneza pipi za hbaba nao ukafail sasa hivi nasikia kaagiza simu za kichina auzee zenye jina lake kazi ipo!!!!! Domo akamatiki kwasasa ndio muda wake huu
 
kwanini kila msanii adai kuibiwa nyimbo na diamond? walivuma akina Nature kipindi kile, akina Ay na Jd mbona hawana kashfa kama hizi? yapaswa tujiulize...
 
mbona hamsemi alisema maneno gani juu ya huyo almasi au chanzo chako cha habari ni RADIO MBAO
 
mbona hamsemi mke wake sijui hawara yake ni mwizi mkubwa alimuibia mtoto wa kigogo mmoja (wa kiume) simu mbili bagamoyo baada ya kupata bed and breakfast wote na kulipwa 30,000

vile vile alishawahi mwibia mwenzake laki nne kwenye atm
aisee we jamaa ni mmbeya post ya pili hii nakuta bado unajifanya kujua insides za mastaa...au we ndo yule paparazi wa magazeti pendwa??
 
kwanini kila msanii adai kuibiwa nyimbo na diamond? walivuma akina Nature kipindi kile, akina Ay na Jd mbona hawana kashfa kama hizi? yapaswa tujiulize...

hata beyonce ana kashfa za kuiba mashairi.
 
aliwah kutafuta kick kupitia uwoya ikawa failure, akajitutumua mauno kugandamizia kwa fall ipupa ikawa failure, bongo movies kajaribu ikawa failure, kuimba ikawa failure, kandanda failure, sasa kamganda diamond, yaan kama mchele ni pishori na kitumbo

Well said
 
daaah username yako imenifanya nicheke mno,,umenikumbusha yule ngongoseke wa nigerian movies
mimi kumbuka warembo wa mwanzo tz Tabasamu ngongoseke nadhani ndie huyu anayeitwa Lucy kihwele kwa sasa wa multichoice na yule mwenzake ana maeda sijui kapotelea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…