samakiurembo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 445
- 689
Jamaa ana nguvu ya kuvuta watu na kuwaweka nyuma ni watu wachache sanaa wanaobarikiwa nahii nguvu ambayo mungu huwapa ukiachilia Yesu Kristu, mtume Muhamad, Haji Manara, John Pombe Magufuli, Tupac, Dr Slaa, Alphonce Mawazo, Kinjekitile Ngwale na nk. Ni mifano ya watu wanaopewa nguvu ya kuvuta watu kupitia midomo yao
Jamaa ananguvu ya ushawishi na kuaminisha watu hata pale panaonekana hapawezekani watu wanaanza kuingia imani kua inawezekana kutokana na neno lake la tumaini na kutia moyo na roho ya kutokana tamaa mara nying mungu huwapa nafasi za uongozi watu hawa
Itoshe kusema Mandonga ndio. Mtu mwenye ushawishi Tanzania kwa sasa