Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 776
- Thread starter
-
- #141
Maisha matamu sana zama hizi! Unakagua gari kwanza ulaji wa mafuta kabla halijaitwa lako, kisha unalihamishia kwako au unawaachia madereva wengine nao wajaribu kama ni madereva wazurikuliko wewe[/QUO
Watu huwa wanapata bahat na wanaichezea . Kwa ustar wa wema alitakiwa awe mbali zaidi ya mastaa wa bongo woote kwa utajiri hata kwa mwanaume alitakiwa awe na mwanaume anayejiheshimu na kujitambua.. sio wakina pck khaa yaaan sijui anatutoa ktk issue ya mo au vipi maana mastar wa bongo wakiona kuna issue watz wanaifatilia na wanataka majibu huamua kujidhalilisha tuanze kuwaongea wao. Ila kajichafua kagongwa juzi na jana imelikiiiiiiπππUle wakati Wema alikuwa Wema, shopping za Dubai na kukaa 5* hotel. Alikuwa anapost viatu vya $3,000 insta. Sasa imebaki historia.
Puli tena πππππMzee baba utamu tunao wenyewe pale tunafuata utelezi kama unabisha piga puli
Ktk picha alotupia sepenga na pck hahaah..mm naona kama.kiki kututoa ktk mstari wa moo jamani kabisaaAmelike wapi?
Uyu ana future husband 50 kidogo! Kama kuolewa inakua ngumu, aoe!Huko ig katuonesha kuwa kashapata mme wake mtarajiwa..namwombea heri kwa hilo na Mungu amfanyie wepesi afikishe kile anachokutegemea..ni wema na pck now ni new couple in town.
Kwa wale mlokuwa mnangojea wema nafasi ishajazwa na soon..
Sure utamu wa mwanamke huisha kwa kutumika na wanaume wengi watu hawajui hilo hadi dogo janja naye kalambaa khaaa.. kumbe uwoya hakuwa na kosa kama kavunja ndoa yao.kwa hilii lilikuwa siri yake..Huyu hana utamu kabisa wanaume waliopita hapo utamu utoke wapi
Macho mekunduuuu [emoji23][emoji23][emoji23] sijui round ngapi hapo kamaliza
Sure utamu wa mwanamke huisha kwa kutumika na wanaume wengi watu hawajui hilo hadi dogo janja naye kalambaa khaaa.. kumbe uwoya hakuwa na kosa kama kavunja ndoa yao.kwa hilii lilikuwa siri yake..
Alaa kumbe walimpiga chini" daah huyo jamaa nae alikuwa ni mkolomije sio bure " kaya chezea mnoo maishahakuacha alitemeshwa baada ya skendo kuzidi unajua tena wema anamtajataja tu jamaa linaenda linamtoa
HahaaUyu ana future husband 50 kidogo! Kama kuolewa inakua ngumu, aoe!
Acha kabisa Jamaa inaonekana Alitimia mundende (sebene la kasongo ) A.k.a vumbi la kenshasaMacho mekunduuuu [emoji23][emoji23][emoji23] sijui round ngapi hapo kamaliza
Na wana moyo kweli.. wema jamani khaaa!! Mastar wa bongo hawajifunzi kwa mstar wa Niger jaman.. wanatutia aibu sana sio siri.[emoji23][emoji23][emoji23] Kuwa shabiki wa Wema inahitajika Kuwa chizi kwanza
Walosema haolewi kaolewa na naniiiii KAOLEWA.
.
Sisi wanaume huwa mazumbukuku yani janamke limetumikaaaaa weeeee achilia mbali wale usiowajua unakurupuka tu mmekutana hotel au barabarani, huyu celebrity kapigwa sana mwanaume muungwana mwenye roho anaenda kuoa kwanini ndoa isife
SanaWema anagegedwa hovyo sana
Uyo tu ndo alimpata wa maana ....wengine mmh mpaka mateja eg jumbeeeπππππππππππ kweli maana madushe ya kila aina yamepita,ila wema katika list ya wanaume aliyepoteza ni clement wa ikulu maana aimfungulia endless fame ofisi zaidi ya milion 100 hadi receptionist anatumia MACNTOSH,Audi Q7,mjengo wa k/nyama wa milioni 400 samani za ndani kama zote 50m,Mark X,Harrier etc bahati haiji tena.
Muache banaa!Uliliwa na mganga[emoji23]
Wanakuaga wachafu hata nguo hawafui
Nilikuwa sijaelewa khaaa yaaan wewee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]