EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Mvuto wa kitu gani?
Muuza mboga mbogaKuliko wote??sema unamfanyia promo buanaa😛
AH hili silipendi kama hilo lengineMuuza mboga mboga
muonekano mzuri wa kikeMvito wa kitu gani?
😂😂😂😂Muuza mboga mboga
yup kuliko wote,kwa maoni yangu lakiniKuliko wote??sema unamfanyia promo buanaa😛
Mbona ana umbo pana kama mchezaji wa juventus au anacheza American football.Mwanamke anatakiwa anone,mafuta tele,sio mwanamke umesinyaa kama Dr Shika una mapaja kama ndege,eti una english Figure.
View attachment 1210462
#EasyToCarryMngejua sio ote tunapenda mizigo ya kinyamwezi , kitu kimodo kafiga kakusearch data ndio mahala pake
mkuu umekunywa nini leo mbona umepost kitu hichhicho mara kadhaaMbona ana umbo pana kama mchezaji wa juventus au anacheza American football.
Utanisamehe bure mkuu mana nilipo ma internet yana shake hivyo ina load mda mrefu na click mara nyingi ndo unakuta inajipost mara nyingi, ila nimeshaweka mambo sawa kwenye uzi.mkuu umekunywa nini leo mbona umepost kitu hichhicho mara kadhaa
no worryUtanisamehe bure mkuu mana nilipo ma internet yana shake hivyo ina load mda mrefu na click mara nyingi ndo unakuta inajipost mara nyingi, ila nimeshaweka mambo sawa kwenye uzi.
Sorry in advance.