Huyu Ndio Mwanamke

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Posts
202
Reaction score
145
Mwanamke akikuta pesa kwenye mifuko ya suruali yako anazitoa kimya kimya na wala hatakwambia kitu.

Sasa akute umesahau kondomu kwenye mifuko ndio utajua kama umeoa kipaza sauti cha sokoni aua mtu!

Ndio maana mimi huwa nafungasha kondomu ndani ya hela, akiziona anachukua hela na kubakia kusonya tu.
 
Mwanamke wa hivyo mmmh...wakuacha ipite kimya kimya kisa pesa imezungushwa na ndomu..atakuwa kimada .
 
Wewe ukikuta condom au K-Y kwenye mifuko yake utapita kimya kimya?
 
Halafu mwanamke wa kusachi mifuko ya mwaume huyo siyo mpenzi ni KAHABA.
Mkuu unaonyesha umekuwa ukioata makahaba kwa jina la mwanamke.
Ushapigwa sana mpka umekuja kulialia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…