Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Ndio maana wanawake wengi hawaolewi. Mume mzuri sometimes anajengwa. Checklist yako mmhh
 
Nimecheka kweli, ninavyojua Mungu huyu anayeheshimika na watu wrote hawezi tambukishwa kwa kuanza na herufi ndogo, naomba mtoa Mara arudi kwa biblia inaonyesh ukisema mungu unamaanish miungu, sasa hebu tufaanulie in Mungu yupi unamkusudia
dia tafuta kigoda ukae usije umia
haki vile maana sio kwa hizo point
 
Kwa nn sisi tusio na elimu tunaachwa sana nyuma?my dear hv elimu unafikir ndyo kufanikio au mwanaume kuwa na elimu ya juu ndo maisha yatakuwa mazr kwako?my dear mtaan tupo wengi sana hatuna elimu tuna mapenz safi na tunajali sana ktk care ya mwanamke kuliko haaata haooo mnaowataka wenye maphd yao.
Wakina dada acheni kuchangua wanaume wa kuwaoa,hii tabia ndyo inayowanya mzeekee nyumbani kwa sabbu tu hadi umpate mwanaume mwenyewe elimu kubwa.
 
Umenena mkuu huyu hana uhitaji wa mume
 
s

sijakosa mme wenda kazi ninayoifanya ndo inanikutanisha na waume xa watu na staki mme wa mtu. kilamtu ana story yake ya maisha, unawezamkabidhi mtu moyo wako kwa mda mrefu shetani akaingilia.just understand that the world is not fair. byee
Sasa usitafte mme humu,watu wa humu sio waoaji,na hata sku1 simshaur mdada atafte mtu mitandaon,angalau mwanaume amaweza,ila mdada hapana,nibora uanze kutoka,nenda viwanja ila sio club,nenda kwenye events etc,ukiskia mashindano ya urembo nenda,mule kwenye haya mashindano hua kuna wanaume weng wanaotafta mabint,..usijifungie ndan,na usitongoze mtu,ni marufuku africa ,bado hatujafka huko,mwanaume mwafrica akitongozwa na dem anakuona biatchy,.siku njema
 
Mi nilidhani ni sifa za kuajiriwa, sidhani kama kuna mwanaume mwenye sifa hizi kisha hana mke au mahusiano,labda alikuwa padri ameamua kujitoa kwenye huduma, mwanaume mwenye sifa hizo hata asipo tongoza anatongizwa yeye tena na watoto wakali ile mbaya, ningekuwa na sifa hizo ningemuoa miss world.
 
wa ovyo? niombe samahani mm sio malaya yote uloyaandika nimekubali ila kuniita malaya imeniuma sana ungejua nina mda gani sijakutana na mwanaume usingeropoka hapa. anyway nisamehe tu nilivyokujibu.
Sijui kwanin nimejikuta nimekupenda bure japo sina vigezo namba 2, 8, 9, na 13.
 
Umri 34+ na awe hajawai kuzalisha. lazima utaongopewa .hakuna mwanaume wa 34 + hana mtoto .
 
Hakuna kitu kama hicho
Usifananishe miaka ya nyuma Na Sasa
Mwanamke kutafuta huku wala hajakoseaa.Kama huwezi kama alivyosema unaweza soma kimya.Muache mdada wa watu ajimwayemwaye PM[emoji1] [emoji1]
 
hongera dada kwa kujiweka sokoni yote mazuri ila suala la kabila limepitwa n.a. wakati hii Iinakuondolea sifa moja kuu ya upendo..waacha sifa zako zikutangaze .Epuka kupiga ngoma ukaicheza mwenyewe.wapelelezi wa nyumba bora ya kupata mke wapo
.Kumbuka mke mwenye sifa ni pamoja na nyumbani kwa wazazi wake na. maoni ya jamii inayomzunguka.
 
Nimechekaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…