Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Bila shaka atakuwa msukuma huyu dada kwa kuweka R sehemu ya L, pili kwa nini hutaki wahaya
 
bikra yangu unataka ya nn mganga kakutuma? IQ nishajibu wewe nielewe hivyo
 
Uwo mda wakati unaandika ungeanza kumuunba ungekua unakaribia kummaliza umtakae
 
bikra yangu unataka ya nn mganga kakutuma? IQ nishajibu wewe nielewe hivyo
Hofu ya nini? Umesema ww ni mcha Mungu. Mimi vigezo vyote ulivyosema ninavyo ila Masharti yangu ni kwamba Siwezi kua na Mwanamke Ambaye si Bikra na Umri chini ya Miaka 24. So sijui wewe upo kundi gani katika hayo Masharti yangu.

16:Awe hayupo duniani alishafariki miaka mitatu iliyo pita yaani 2015...

Hichi kigezo mhm sana umekisahau... Anyway kila la akheri... Madam
 
vipi kuhusu kibamia hujaongezea hapo
 
Endelea kuota kunapambazuka muda sio mrefu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…