Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Yupo mmoja msafi sana kama utakavyo kasoro yake hana kucha zote hahahaaa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti vitoto vinavyomiliki PC baada ya kupewa mkopo na board visikusumbue.......!!!!!!
daah kwel hapa sina changu
 
kamautaniruhusu kupendekeza nadhani Lekokobanga, Le mbembezz ametimiza vigezoo
 
Masikini hii imeniuma sana maana naona huyu Dada katendwa sio bure. Dada fata moyo wako unapenda achana na wanaokukatisha tamaa
 
Nipo hapa umenipata,japokua kuna vitu unapaswa kuvijua.Licha nina vigezo vizuri kuliko hivyo ulivyotaja,uwe mzuri tuu.
 
Nadhani huyu mwanaume atakuwa bado hajazaliwa.
Subiri vizazi vijavyo utampata
 

*SIFA ZA MWANAMUME BORA...*
*1.Hanywi pombe*

*2.Havuti sigara*

*3.Hachepuki*

*4.Mkweli*

*5.Mchamungu*

*6.Ana hela*

*7.Handsome*

*8.mpole*

*9.Anajua mapenzi*

*10.HAYUPO DUNIANI*

*Sisi wa duniani tuvumiliane tu.... Maana vita ya kumtafuta mume bora haijawahi kumuacha mtu salaam*
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hehehehe aisee mecheka kwa sauti mpk watu wamenishangaa... duh kigezo cha kucha aisee umenivunja mbavu. Ila inaonesha you know how to love... sema vigezo viko lukuki mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…