Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Humpati mtu hapo. Yani mwenye vigezo vyote hivyo afu bado awepo awepo tu???? Mwisho swala la uhaya huna legitimacy ya kulitoa mdomoni mwako usirudie tena
 
ahaaaaaaa mm hv sio vigezo vyangu
 
Nadhan hata Mitume ya mungu hivyo vigezo hawana ita kuwa binadamu tena muafrica [emoji23][emoji23]
 
Nani akubaliane na Malaika? Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
 
[emoji23]Mwanaume mwenye sifa hizo anaweza kuwepo lakini je nawewe unazo sifa ambazo ye anazitaka? Una uhakika unasifa za kumvutia kila mwanaume ili ukimpata nayeye awe amekupenda automatically?... Je utaprove vp km hatokusaliti mara baada ya kumpa moyo wako?
 
Vigezo na masharti vizingatiwe......unatafuta stress zisizo na ulazima
 
Miaka 34 bila kuwa na mtoto
Wala kuwa umewahi kuoa
Huyo unayemtaka atakuwa hayuko sawa
 
Aseeh nikama Nimependa Tangazo lako ila badilisha r hizo maana mke tupo chumbani unaniambia baby I rove you nitakimbia.

Kila la kheri kigezo cha kucha kimenikosesha mke na cha r.
Yoooote umiongea umieleweka ila bado kimoja.. tupia kapicha tutathmini kwa ujumla kama unalipa.
NB; Kutest itapendeza zaidi[emoji160]
 
Mimi mkamariaa.. kigezo hicho kipo...?
 
Kama hujapata Mwanaume basi hutapata tena kwa jinsi walivyochangia hiii Mada kama ndiyo wingi wa mahudhurio PM basi utakua umeshindwa kuchagua kwa wingi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…