Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Huwezi kumpata mwenye vigezo vyote hivyo, umri unapozidi kusonga mwisho wake utaamua kutoa fursa kwa msukuma mkokoteni.
 
Waulize wamenpiga wangapi tangu Jan nimeweka Uzi? Si kwanza hata wanijue? Ahaaa loh
Kwahiyo hauko serious na bandiko lako?
Kama unamaanisha ulichoandika kwanini hutaki wakujue?
Hizo pua ndefu unazotaka utazionaje bila kukutana?
 
Kwahiyo hauko serious na bandiko lako?
Kama unamaanisha ulichoandika kwanini hutaki wakujue?
Hizo pua ndefu unazotaka utazionaje bila kukutana?
Najua ninachokifanya na nitaamua lini nikutane na atakae patikana
 
Duh.! Mie nna sifa zote hizo ila kasoro elimu yangu darasa la nne nilifeli nikaamua kuacha shule kutafuta hela
Kuhusu pesa usijali nina pesa na mradi mkubwa wa kuuza majeneza ndani na nje ya nchi.
Pia ninamiliki "kagari"
(kama kale ka Mr Bean) lakini nadhani kanatutosha mimi na wewe...ngoja nije PM nijaribu bahati yangu.
 
Mama hujaeleza hadi mwisho, mkia unao?

Kabla sijafikiria kwenda pm nijue kabisa unavuta trela au ni kama vits nyuma imekatwa?
Duh...! We jamaa ni noma.!
Tena ingependeza aweke na ka - picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…