Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Nina sifa 17 ambayo sina ni kwamba nimeoa..
Ila kama unataka mtoto anayefanana na baba yake we ni pm tu.
 
dah madem WA kibongo wakisoma Tu kidogo misifa iyo et msafi for ur info hakuna bnadam msafi .Hongr lkn umejitahid kuandika Bt cku iz no love.Ni mtazamo Tu ctaki noma na mtu mm ILA ukiitaka ipo umetutukana Sana kweny tangazo lako kumbuka neno MAN (master appointed naturally) so please kuwa na adabu
 
Unatafuta mwanaume wa kumtoa kafara maana masharti ya namna hiyo yanatolewa na tawile a.k.a mganga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama una sifa zote hizo mbona ujaolewa? mambo mengine muachie Mungu,usitake kuendesha Kijiko wakati una leseni ya bajaji.
Mwenzio DIVA wa Clouds yamemkuta naye alosema mwanaume wa kumuoa awe na milioni 500 ya mahali na kujiona yupo juu Leo anatembeza bakuli anaomba msaada $7000.
Nakushauri futa huu uzi usikufuru.
Nimeoa na nipo kwenye ndoa huu ni mwaka wa tano.
 
Uzi sifuti mkuu. Kila mtu ana fungu lake.yule ni diva ana ndoto zake .na mimi ni inna ina ntoto zangu.

Thank God wew uko kwenye ndoa embu nijibu kama mtu mzima, ndoa ni nini? Hivi unaweza kuoa au kuolewa na mtu usiemtaka? Hivi mnavyoninanga hivi huyu mme si mm ndo nitaishi nae?
Mungu aliweka vitu vingi duniani tuchague.

Lastly nikukumbushe tu hakuna kitu chenye gharama duniani kama furaha ya moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…