Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Kwa mfano ukimukosa huyo Mme ss tunahasala gan,
Tamthilia zinawaaribu,
 
Utafiti unaonesha kuwa wanokuwaga na mbwembwe nyiiingi mara nyingi wanaishia kuolewa na watu wa kawaida sana tofauti na vigezo 10+ alivyoviweka
 
Hujataja umri wako,,,[emoji848]
 
Kwa sifa zako ulizojitaja kama upo ivyo na huna mume Wewe unamatatzo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ulishachelewa,kwa umri huo na sifa hizo wote wako kwenye mahusiano tayari.
 
kwa bahati mbaya wenye sifa hizo ni wahaya kwa hapa Tanzania,wasomi,warefu,wenye hela na upendo wa dhati.
 
Kumbe bado hajapatikana huyo mwanaume,,, maana hili tangazo ni la mda kidogo anyway ngoja niongeze juhud naweza nikabeba mtoto...
 
Endelea kusubiri mama mungu ume mmiliki?
Kiufupi kuolewa kwa mwana mke hakuji kama mvua ya masika yaani ifikapo january itaanza kunyesha. Bali nafasi ya kuolewa huja kama bahati.

Mimi nakushauri bure kabisa ya kwamba ukipata mwanaume yeyote narudia tena yeyote wewe olewa, hivyo vigezo vyako ulivyo viweka viondoe kabisa vita kufanya usiolewe kabisa, kwa maana inaonekana unawasifu ufuatao.

1. Unamiaka 34 na ndo maana ume weka mpaka kwamba lazima mwanaume atayekuja awe na miaka 34 , hii ni kutokana na ukweli kwamba hutaki kuolewa na mdogo wako.

2. Mpaka ulipo fikia hapo inaonekana umewahi kutendwa saana kiasi kwamba umeamua kuigia sokoni ukijaribu kutoa vugezo fulani fulani kama viambata vya kukusaodia kumpata mwanaume unaye mtaka. Nathibitisha hili kutokana na ukweli kwamba ni vigumu saana kwa umri wako ikatokea hujawahi kupenda au kupendwa maishani.

3. Wewe ni mwana mke unanye ogopa shida na ndo maana unataka mwana mume aliyesoma ukiamimi kusoma vizuri ndio kupata kazi nzuri , lakini umesahau kwamba unapoishi na mwanaume haushi na pesa yake au ukwasi alio nao bali huishi na mtu mwenyewe vingine ni matokeo. Rejea wimbo wa marijani rajab (ooooo oòoo shida) ukutie moyo ili ujue shida inaweza kutokea hata baadan ya kumpata anaye miliki kitu.

4. Unapo sema awe na kucha zote miguuni je nawewe una meno yote je huna jino lililo toboka? Kama unalo basi utajiongeza mwenyewe hapo.

5. Umejaribu kuonyesha sifa nyingi ulizo nazo lakini kuna sifa kuu ambayo wanawake wengi wasio na sifa kama zako ndo wanao sumbua ndoa nyinhi hapa mjini wanazo, yaani KIUNO FENI je nawewe sifa hiyo unayo? Siunajuwa mjini msingi kiuno ukisha tendwa ndo baibai? Rejea ( omy dimpose) kwa faida yako

6. Umesema wewe ni masafi saana huja fafanua ni msafi kivipi kwa maana kwa asili mwanadamu ni mchafu na ndomaana tukitembea kwa muda mrefu juani hurejea nyumbani kuoga , na kama ishu n usafi wa ndani hilo ndo litakuwa jukumu lako kumbe usikimbie majukumu.


USHAURI
ukimpata mtu yeyote olewa naye kwa maana duniani hakuna mwana ume wala mwana mke mkamilifu bali wanaume na wanawake bora wako kila mahali. Chaguwa moja kuishi dhamiri au kuishi katika kristo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua umeficha umri wako kwa kuhisi wataona ushachezewa sana (ndio ukweli) kwa umri ulionao,
Hujui kugegedana
Kama ulishampata kala hasara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…