Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Vijana wapenda bongo fleva na wavaaji makata kundu na wasuka nywele nao vipi, unawakubali?
 
Duh..!
Mie nna vjgezo vyote unavyotaka ila kasoro yangu elimu tu!
Niliishia darasa la nne nikafeli mtihani maana huwa sina akili nzuri japo kwa sasa biashara yangu ya majeneza imenitoa kimaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Between MAN & WOMAN... who's the prize? who's the contestant?

Odometer ikishalaza mshale, hayo masharti utaanza kuyaandika in opposite way.

-Kaveli-
 
Staki kuumiza kichwa sana wala kujihoji sana kuhusu hizo sifa ulizozipendekeza hapo juu kama ninazo au laa, kwa sababu tayari wewe unazo kwangu inatosha! Hebu tafakari, Usafi ungekuwa na maana gani pasipo uchafu kuwepo? Je! Ikiwa mwenzangu msafiii na mimi msafiii huo usafi utakuwa na maana gani ktk maisha yetu pacpo uchafu kuwepo? Je! Tutajitambua vp sisi ni wasafi pasipo kuchafuka? Hivyo basi ili sote tuwe wasafiiii lazma mmoja wetu awe mchafu ili kupitia uchafu wake, usafi ulete maana. Pia kupitia point yako ya usafi utamfanya kila mwanaume anayekuja kuonana na wewe BabyMama aje na boxer mpya surwale mpya, singlend mpya, shati mpya, kiatu kpya na soks mpya, bila kusahau kwenda saloon kunyoa na unyunyu juu! Mpaka ujekugundua ni mchafu una watoto wa wili na ya miezi 6 juu. Kama una macho tazama ili ujifunze na Kama una moyo hifadhi ili uwelimike na tambue ni nini unastahili katika maisha ya mahusiano na nini unatamani katika maisha mahusiano kwa sababu tamaa huwa ya muda mfupi tu ila ulichostahili huwa kikubwa, kina stahimili na kinadumu milele yan, hapa duniani na huko tuendako. Kwani akionganishae Mungu hakuna wa kukitenganisha.

Natamani niendelee kuandika kulingana na points zako zote 15 ila kuandika kipaji na mm wala cjajaliwa kipaji hiko.

Kwa ufupi, ni vema ukafahamu kwa sababu tayari unatambua ya kwamba wewe umelelewa katika mahadili mazuri umefanikiwa kuwa na level fulani ambayo imekupa hadhi ya kuwa vigezo vyote hivyo unavyo vihitaji.. Lkn cyo ww Bali ni malezi bora na umakini wa wazazi kwa mtoto... Lkn cyo malezi tu bali ni hali ya kiuchumi kuimarika kwa kiasi chake na kuwapelekea wazazi wako kuongeza umakini juu yako had kufikia hapo ulipo Leo hii.

Ni vema ukakumbuka malezi yanatofautiana kutokana hali duni za kimaisha ambazo wazazi wetu wamapitia hvyo wanajikuta wamatumia muda mwingi na umakini mwingi ktk kutafuta vipato kwaajili ya kujikimu na watoto wao hvyo inampelekea mtoto kukosa malezi bora kwa wazazi na hatima yake ndo hii, uchafu,uuni,ulevi,kutokuwa mkweli kwa sababu ya kuogopa kuchekwa nk nk

Itaendea pm

NB: kuwa na mwanaume mwenye kaZi haimaanishi ndio upendo wala ndio kufanikiwa kimaisha au kuwa na mwanaume msafi ndio kuushinda usafi hapana!! heshima ya uchafu itabaki pale pale. Na ndio maana wahemga wakasema mafahari wa wili hawakai zizi moja. na ndio mana kuna raisi,makamu wa raisi, wazir mkuu, mawazir na wabunge nk nk

Pia ikumbukwe Ingawa wahenga wanasema dawa ya moto ni moto ila kumbuka ZimaMoto wanazima moto na maji na unazimika vzur tu! Kwaiyo cyo kila ndio ina ukweli kiundani Bali kuna ndio zilizoambatana na utani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hapo inabidi ashuke Nabii Eliya au Mtume Joshua akuoe
 
Muumbe wa kwako na utembee nae kila sehemu vinginevyo utaibiwa.

Wa vigezo hivyo ana wachumba kibao toka yupo sekondari.

Hatafuti mtu ye ni asset tosha

We danga tu umri ukienda tafuta mzee mwenzio msogeze maisha huku mkielezana FANTACY ZENU za ujanani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekosa sifa moja tu Mimi mi Muhaya naishi Marekan kwa sasa nipo Bongo nahitaji Mke
 
Tatzo unaongea sana
 
Aseeh nikama Nimependa Tangazo lako ila badilisha r hizo maana mke tupo chumbani unaniambia baby I rove you nitakimbia.

Kila la kheri kigezo cha kucha kimenikosesha mke na cha r.

Hahhha ndiyo Elimu yetu hiyo usishangae
Msomi mwenye degree hajui tofauti ya R na L
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…