MVAA GWANDA
Member
- Nov 12, 2010
- 35
- 6
Hehehe u have made my bad day into the most joyable one umenifurahisha sana LMAOSura kama mashairi ya Juma Necha
hapa siyo kwa yule dereva wa daladala aliyepigwa risasi na Best man wake?Pole kwa machungu ndugu yangu...utaumia zaidi kusikia hao wote wamempa kura JK....hapo ni kijiji alichozaliwa...nakupa na hii...hataki kuchafuliwa na tope
In contrast hii ni hospitali ya Msoga....
Shameeeeeeeeeeeeeeeee KikweteeeeeeeeeeeeIn contrast hii ni hospitali ya Msoga....
Kwa hali hii naelewa kwa nini ndugu yangu KIGOGO kapigwa BAN ya milele maana mamabo haya yanatia hasira sana....kweli kweliiiiii hii nchi unaongoza watu wako hospital hapo?no way