Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Hapo umeongea tatizo wengine wanamuona mwengine asingeweza fanikiwa wanashangaa anaanza kupenya so hawapendi...na sikuzote rizki haiwezi kuzibwa na mtu
Na hilo ndilo tatizo lao kubwa... Hawataki kuona msanii mwingine anafanikiwa, roho za ajabu kabisa!!
 
Mleta mada ni Demu
Mwanaume haiwezi leta mada za umbea kiasi hiki,ubora wa msanii unapimwa kwa tuzo na mafanikio kama ilivyo kwenye mpira,huwezi sema hii ni ligi bora wakati timu zake miaka mitano na zaidi hawana hata Uefa,karibu miaka tisa tuzo pendwa za ballon wanazisikia kwenye tv,eb tuanzie hapo mondi na kiba nani anatuzo nyingi kimataifa achana na hizi za kilimajungu awards
 
Swala la nani alilipwa kiasi gani ni Uongo mkubwa, hakuna mkataba wa kazi unaowekwa hadharani, makubaliano ya malipo ni baina ya meneja na waandaaji na ni Siri. Kama unahisi basi ni Uongo.
wewe kama hujui wenzio wanajua
 
Huyo salam kama demu nae kuna cha kupanic nn hapo ama kutoa povu , kama kwa hili wameanza kupanic aise ....ina mana walikua hawana habari ali atapanda jukwaani?? Mmeogopa nini??? Kama umeanza kupanic kwa rival mwenzio basi ujue u have start shaken...hahahah yooooooooh
 
Kwan umeambiwa diamond hatoperform mtv mama tatizo nyie tema kibakuli mnaona ajabu kuperform mtv wakati mond huu n mwaka wake wa3 hatakuwa ana perform
Alicho maindi meneja n kutumika kwa jina la diamond kuvuta watu halafu kikaja kisanii kingine nacho ku perform
 
Kwa nionavyo mie.. Huyu kijana diamond anazidi kumrudisha alikiba katika midomo ya watu..
Kama ilivyopangwa ndivyo inavyotekelezwa..

Umeonaeeh hii walitakiwa waipotezee Sasa wanaonekana anawaumiza kichwa
 

Wiki mbili nyuma kiba alikuepo hapo mama ngina na watu walijaa hivyo hivyo
 
Wiki mbili nyuma kiba alikuepo hapo mama ngina na watu walijaa hivyo hivyo
Punguza mahaba watu wanasema kuwa crowd iliyovutwa na domo haijawai tokea kwa msanii yyt kiba anategema attention ya domo coz kila siku kiba anaenda Mombasa but hujawai vuta crowd kama hiyo ukweli haujifichi
 

Iyo kiba alialikwa [emoji3] na hao watu walikusanywa na diamond [emoji3] na sehemu ni iyo iyo picha ameweka gavana wa Mombasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…