Huyu ndio Tunda bhana, msichana anayejua nini maana ya balanced diet

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Tunda bhana ni msichana au video queen pekee anaye jielewa TZ nzima tofauti na video queens wengine kama Masogange, Amber Lulu, Gigy money nk

Sifa kuu inayomtofautisha Tunda na video queens wengine kwanza anajali na anajua nini maana ya mlo kamili ( balanced diet) tofauti na hao wengine ambao wanashindia chips kuku tu bhasi hawataki kabisaa kusikia habari za ugali hata kidogo

Pili Tunda bhana hanaga njaa za kijinga jinga kama akina Gigy money na Amber Lulu ambao maisha kwao hayaendi bila kuuza miili yao na kupost picha zisizokuwa na maadili

Haya ni maoni yangu tu wadau kwa leo
,aya uwanja wenu wadau na nyinyi tiririkeni


 
Inaonekana huyu bidada anapenda sana kwenda toilet mana kila picha inayoletwa na wadau humu lazima kajifotolea chooni.
Halafu si nasikia anpeleka menyu vibaya sana hapo kapiga tu picha ili ungekuwa karibu vyote hivyo ungekuta amelamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…