Huyu ndiye anayemfaidi Agnes Masogange

Huyu dada ni attention seeker!! Khaa sikuwahi na wala sitakaa nishabikie ----- anaoufanya...sipatii picha siku akiamka akakuta ------ yake hayapo..atapga picha wapii teena??hahaa
 
mmh kajichora chora huyo tattoo kibao

BTW hivi ukitaka kusave pics instagram wafanyaje

Unatumia simu gani laaziz?
Kwenye iphone ukifungua kwenye profile yako ya IG kuna option ya kuadd photo,ukiclick inaleta camera, pembeni ya button ya kupigia picha kuna vibox viwili ambavyo ni option ya kuchukua picha za kwenye album!!
 
Hahaaa bongo atarudi mshauri aasirudie yale m.ambiyetu ya azania
 

Inaitwa screen shot mkuuu kwa blackberry n Munch screeen


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Ila angalau katulia kidogo hata nguo anazovaa ryt nw ni zakuridhisha kidogo.
 
Huyu jamaa sio fijo(mnigeria) kweli maana napatia picha hiyo "this girl she is killing me"
 

Screen shot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…