Huyu ndiye Askofu Josephat Mathias Gwajima (Jasusi la Mbinguni)

Hongera yake kwa kuujaza Ubongo maarifa na ufahamu. Sisi kenge tuseme nini?
 
Unaokoteza hoja
 
Yuko Wapi.,
Jasusi La Mbinguni limejificha..
 
Tofauti ya Gwajima na Makonda ni ndogo sana, wote ni wana propaganda wanaoegemea upande wa wananchi kwa lengo la kujijengea umaarufu au mianya mizuri ya upigaji.
 
Pengine nisinge kua nafanya hili nacho fanya mpira wa miguu ungefanya yootee Tena easy na kwa uraisi. Sana maana kwenye mguu wangu wa kushoto mwenyezi Mungu aliweka kipaji Cha ajabu Sanaa mpira uli nitiiπŸ“ŒπŸ”¨
 
Una uhakika sio ww mwenye laana?! Mbona uandishi wako unaonyesha umelaanika yaan ww mbogamboga.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…