Huyu ndiye binadamu aliyetajirika

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
EXCLUSIVE: HUYU NDIYE BINADAMU ALIYETAJIRIKA KUFUATIA KUJIBADILISHA MWILI WAKE NA KUWA KAMA MJUSI HUKO KWA WENZETU.





Jina alilopewa na wazazi wake ni Erik Sprague, ingawa Ulimwengu unamfaham kama Lizardman, huku akiwa na vipindi zaidi vya Television kibao akionesha jinsi alivyoweza kuubadilisha mwili wake huo. Mabadiliko hayo yanajumuisha kuchonga meno na kuwa makali, Tattoo mwili mzima ikiwa ya rangi ya kijani na magamba, Ulimi kupasuliwa kati na kuwa pacha, Manundu maalumu usoni na hivi karibuni hadi midomo yake imekuwa ya kijani yote.




Kumekuwa na Uvumi kwamba huenda nyota huyo wa moenesho ya vipindi mbali mbali vya kutisha angefanya mpango aoteshwe mkia, lakini mwenyewe amekanusha na kusema jambo hilo haliwezekani.
Mbali na shows kibao amekuwa mwandishi mzuri wa jinsi ya kuubadilisha mwonekano mwa mwili kupitia Body Transformation E-Zine
Lizard Skynyrd ndo jina la Bendi yake ambayo imekuwa ikizunguka sehemu tofauti tofauti duniani kwa matamasha mbali mbali.

Source:Folclassic.com via matukiotz














 
Hata kama ni utajiri mie ngoja nisubiri subirie kuliko kumkufuru mwenyezi Mungu
 
Amekua mbayaa halaf huyu utakuta ana demu eti anamsifiaa you are so handsome! !!!!!!???
 
Mnh yani amekua kama nini sijui mmbayaaa ..hata sijui anawaza nini ka shetani wa mguu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…