Huyu ndiye Bishop Kakobe, mpakwa mafuta wa Bwana

Huyu ndiye Bishop Kakobe, mpakwa mafuta wa Bwana

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Ni wazi kuwa askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship FGBF askofu Zachary kakobe amekuwa akizunguka duniani kote kuhubiri injili ya Mungu kama Biblia isemavyo katika kitabu cha Mathayo 24:14. Picha zilizopo chini ni baadhi ya mikutano yake duniani kote.
 
Attachments

  • 1443951029206.jpg
    1443951029206.jpg
    26 KB · Views: 1,684
  • 1443951047634.jpg
    1443951047634.jpg
    37.1 KB · Views: 1,552
  • 1443951065370.jpg
    1443951065370.jpg
    53.8 KB · Views: 1,513
  • 1443951094079.jpg
    1443951094079.jpg
    38.5 KB · Views: 1,459
  • 1443951212951.jpg
    1443951212951.jpg
    29.2 KB · Views: 1,425
  • 1443951232874.jpg
    1443951232874.jpg
    31.9 KB · Views: 1,414
  • 1443951247953.jpg
    1443951247953.jpg
    31.1 KB · Views: 1,404
  • 1443951261570.jpg
    1443951261570.jpg
    37.6 KB · Views: 1,378
Mungu ambariki mtumishi wa bwana...aitende kazi yake vema
 
Ni wazi kuwa askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship FGBF askofu Zachary kakobe amekuwa akizunguka duniani kote kuhubiri injili ya Mungu kama Biblia isemavyo katika kitabu cha Mathayo 24:14. Picha zilizopo chini ni baadhi ya mikutano yake duniani kote.

Mbona ni picha za tukio moja tu; na siyo kama ulivyosema ? Nilitarajia kuona picha za nchi mbali mbali alizozunguka kuhubiri injili dunia.
 
Mimi namwaminia kakobe kwa waraka aliomtumia Kikwete kumwambia kama hawataomba msamaha basi li-ccm lao litamomonyoka vipandevipande na viongozi watasambaratika leo hii unabii huo hakika umetimia
 
Back
Top Bottom