Huyu ndiye bwana mdogo Kalulu aliyeasiliwa na Sir Henry Stanley na kuzunguka naye Afrika,Ulaya na Amerika

kwa mujibu wa wikipedia , kalulu alipatikana tabora na jina kalulu humaanisha swala mdogo

hivo naamini kalulu alikuwa mwenyeji wa Tabora


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sir Henry Morton Stanley hakuwahi kuoa, kuwa na mtoto au kuwa na mahusiano na wanawake, na alikuwa homosexual. Uhusiano wa namna hii kati ya basha na kijana mdogo wa kiume unaitwa pederasty kwa Kiingereza. Henry Morton Stanley alikuwa pederast.
 
nilisoma mitandaoni kuna hostoria kwamba wazungu waliwabaka watu weusi wanaume na wanawake
hii historia inafichwa sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
Siyo wazungu tu, hata baadhi ya machifu wa kiafrika walikuwa wanalawiti wale watumishi wa kiume, someni habari za Kabaka Mwanga.
"........
A year after becoming king he executed Yusufu Rugarama, Makko Kakumba, and Nuuwa Sserwanga, who had converted to Christianity. On 29 October 1885, he had the incoming archbishop James Hannington assassinated on the eastern border of his kingdom.

For Mwanga, the ultimate humiliation was the insolence he received from the (male) pages of his harem when they resisted his sexual advances. According to old tradition the king was the centre of power and authority, and he could dispense with any life as he felt. It was unheard of for mere pages to reject the wishes of a king. Given those conflicting values Mwanga was determined to rid his kingdom of the new teaching and its followers. Mwanga therefore precipitated a showdown in May 1886 by ordering converts in his court to choose between their new faith and complete obedience to his orders and kingdom.[2]
 
Very sad indeed!!!!! ,
The young boyn was a slave owned by an arab, was bought by an engishman and became his slave too.
The only difference between the two is that at least he lived in comfort.
 
.
Inaonekana Henry alimsukuma dogo kisa alikuwa anashabikia yangaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…