Huyu ndiye DJ Fetty bwana!

ni mtazamo wako tuu,huyo dogo ni wakawaida xna,ni vile tuu ww umemuona kwenye picha.jrb one dei ukutanenae live.
 
Kumbe wanaopost upuuzi sometimes sura zao hata hazifananii.

Ngoja niitumie kama avatar.
 
Ila kichwa kiliingia kwa warembo dazaini yake unakutana na bwawa moja hatari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…