Huyu ndiye DJ Fetty bwana!

Maajabu yake ni kwamba pale mjengoni wale macheckbob huyo mtoto wameishia kupiga nae picha tuu
 
Njoo Zanzibar wapo wa kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa, mie hizo sauti zinazokwaruza nazipend ajamani.
Wanyakyusa akina Heaven Sent ndio zao hizo.
Msinikumbushe kabisa. Kuna siku nilikuwa nasafiri alfajiri na cousin brod, akaniomba navyoamka nimpigie simu nimuamshe.
So nimeshtuka tu nikamcall, nimeongea kidogo nikaona kama yupo puzzled, ikabidi aniulize "kwani sis unakunywaga pombe"? Nilicheka mnoo, he thought nililala na pombe ndo maana msauti umekauka na kukwaruza asubuhi

Nina huyo shost angu mnyaki pia. Yule akiwa amelala chali afu muongee kwa phone humsikii kabisa, sio kwa ule msauti.
Kama mimi yani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mekutamania hiyo sauti yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…