Huyu ndiye Emin Pasha

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
Huyu ndiye Mehmet Emin Pasha ambao ni jina la kupewa...Eduard Schnitzer ndio jina lake halisi...



hawa ni wenzake akiwemo Mwandishi wa habari na mtafiti...Mwingereza...
Henry Morton Stanley... aliyekaa mwenye bakora katikati...




Hii ilikuwa inaitwa Relief Epedition iliyomuokoa Pasha kule Sudani baada ya kuzungukwa na Waarabu aliowaudhi kwa ukatili wake...

Baada ya kumuokoa Mfalme Leopold wa Ubelgiji aliwatuma Congo kutuliza ghasia.... wakafanya mauaji makubwa huko na kumuua Chifu wa moja ya Kabila huko....


Wakalaaniwa kuwa kila moja angekufa kifo cha ajabu... wakati wa kurudi wawili kati yao walikufa... mmoja kwa malaria mwingine kama sikosei kwa kutumbukia Mtoni asionekane tena....Pasha...alifia Uganda na mwingine Tanzania....

akabaki Stanley aliyekimbilia Cairo,Misri kumalizia kuandika kitabu chake haraka haraka ... alikimaliza kwa muda wa siku sitini tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mindevu yake imenipotezea hata mood ya kusoma πŸ˜ŒπŸ˜’πŸ˜΄πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ukifuatilia sana utatoka wote tumetoka kwenye koo za kichifu
 
Jamaa kwani unakimbilia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…