Huyu Ndiye Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso

Kama ni kweli hongera yake maana wabongo nawajua mwenyewe nini' wanaweza kufanya mara baada ya kupata kichwa Cha habari. Hapo zitashuka sifa kibao mpaka mwenyewe akizisikia hatojua kama ni yeye anayezungumziwa.
 
Mna Sofia watu msio wajua,Bora Dr Samia kajenga shule, hospital,umeme wa kutosha,democracy,amani inaendelea
 
inawezekana akaitoa sehemu Moja hadi sehemu nyingine,
NB,VIZURI HAVIDUMU BEST, MFANO UNAO MWENYEWE
 
Watanzania wanapenda Ma dictator sijui kwanini..
Uko sahihi sana ni kweli kabisa hata mimi nimeliona hilo na hii no sababu Wamechoka Kuonewa

Wamechoka kuona viongozi wanachekeana chekeana, lakini wanajua Wazi kabisa na wanaona Uzembe na Udhaifu unaofanywa na Viongozi waliopo Madarakani Kuanzia Rais Mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…