Huyu ndiye John Mashaka...

Wakuu,

Ngoja niweke picha yangu na mimi mnijadili kidogo,maana na waona ni wachambuzi wa zuri sana.
 
Hakuna haja ya kusubiria Michu abandike pic yako,weka sasa hivi tujadili,kama wewe ni mrefu au ni mfupi...

Mbona ghafla umekuwa sensitive, uko kwenye payroll ya jamaa nini au ndio mambo ya ushabiki (ugroupie)?

Kama unaona thread ni ya mipasho, si uondoke kimya kimya kuliko kujaza kurasa tuu.
 
Kosa ni kuweka picha yake? Si sawa na tunavyo ona picha za watu wengine tu. If there is something to discuss about me sawa. Au kuweka picha yake ndiyo kumchambua? Sorry if I touched a nerve.
Keshasahau kwamba John Mashaka ni Celebrity wa Michuzi Blog.......
 
Hakuna haja ya kusubiria Michu abandike pic yako,weka sasa hivi tujadili,kama wewe ni mrefu au ni mfupi...

Hakuna mtu aitwaye Nyani Ngabu bana...wewe vipi? Yaani ndio umefikia kikomo cha uwezo wako wa kufikiri....? Unataka nibandike picha ya NN...? WTF?
 
labda ndio huyo mwenye skafu ya baridi....wtf wabongo bana.....sasa ona lijitu kama hilo lingine skafu na hili joto....copy from majuu hii....

Kwakwakwaaaa...unajua nilikuwa sijaangalia vizuri...hiyo njemba sijui ilikuwa inafikiria nini? Skafu ya nini bongo..? Lol
 
Josm tutolee picha yako hapo.......au mbinu za ili thread ifungwe?
 
Kwakwakwaaaa...unajua nilikuwa sijaangalia vizuri...hiyo njemba sijui ilikuwa inafikiria nini? Skafu ya nini bongo..? Lol
Mijitu hio ipo mingi mjini ndio fashion siku hizi.....li skafu na makoti unakuta jamaa anatokwa na jasho kisa fashion.....
 
Josm tutolee picha yako hapo.......au mbinu za ili thread ifungwe?
Josm=John S.Mashaka??????????,maana anavyomsemea huyo mashaka mpaka basi
 
Last edited:
hapendwi mtu ila pochi!mashori wanamzimikia coz of ATM
bwa ha ha ha ha aiseee noti zake mwazionaje? unajua nyie bana ule ung'eng'e wake wa Wall street ya NC unawazingua
 
This thread sucks,,,,it's personal it's worthless,,,,
We are all Tanzanians,after all in average Tanzanians are short,so what?
Mwachieni mwenzenu apumzike,This is no difference to UFISADI,because UFISADI=SELFISHNESS,That's what's this thread is all about!
 
Wale wale.....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…