Huyu ndiye John Mashaka...


Watu wa Wall St mbona hawamjui John Mashaka? Anafanya kazi jengo gani Wall St ? Kuna watu wanapita Wall St kila siku ya kazi, kuanzia pale kwenye cemetery ya kanisani mpaka huku FDR Drive mtoni/ estuary, John Mashaka anafanya wapi?

Au ukitembelea NYSE na kuangalia mijengo ya Wall St tayari unaweza kujiita unafanya kazi Wall St ?

Wall St is a casino in a kindergatten anyway, labda kwa wabongo wasioijua tu ndiyo wanaweza kuheshimu hilo jina.
 
..they r two different individuals.

..hata picha zao ziko kwenye mtandao[michuzi, etc etc] kama una muda wa kuzitafuta.

..Mashaka ana asili ya mkoa wa mara, na Januarius ni mwenyeji wa Tanga.
 

Hizo sifa hazifanyi kazi Tanzania, nitakutajia watu watatu tuu walioombwa kurudi nyumbani lakini sidhani kama walibadili chochote humu nchini - (1) Daudi Balali (the late) (2) Andrew Chenge (3) Daniel Yona; wote hao walikuwa kwenye mashirika ya kimataifa na kurudi kutumikia nchi yao!!
 

Wenye uwezo wa kuongoza nchi hii ni wengi sana. Na kama ingewezekana wakaorodheshwa , basi hao unaotaja wewe wanaweza wasiwemo. Let us think positively to our country and not bringing self-centered and stupid mind. When did you know Jan Makamba? or Before would you expect someone like Makamba the father to become CCM Gen. Secretary? or Do you how many people wished and expected to become a present before Mkapa? So Stop telling us this stupid idea.
 
Although Natoka nje ya mada kidogo is Balali still really alive... na kama ni kweli wako wapi ma investigative journalist wetu waende wakachimbe hii issue, or just hire a private eye huko marekani ili aweze kuchimba hii issue maybe we can put some people behind bars
 

Tanzania,

..lakini so far Tanzania tumekuwa na balaa la kuongozwa na watu wasio na uwezo.

..tena wakati mwingine inatokea kabisa wanapambanishwa mwenye uwezo vs asiye na uwezo na cha kushangaza anashinda asiye na uwezo.

..sijui ni kitu gani kitatuokoa lakini huu mfumo wetu wa upigaji kura na uchaguzi hautusaidii kabisa.
 
Balali yupo hapa Bar analewa. njo uongee nae kama una shida nae
 
Kwakwakwaaaa...unajua nilikuwa sijaangalia vizuri...hiyo njemba sijui ilikuwa inafikiria nini? Skafu ya nini bongo..? Lol
Utakuwa unamchongoa Mwigulu, manake kila picha yeye ana skafu tena ya winter, sasa sijui bongo kuna winter siku hizi!
 

Tanzania have spoke.
 
Ndio nani huyu J. Mashaka wengine wageni humu!!araaaaaa
 
John Mashaka ndo nani?

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
huyu ndio anataka kigwangala anataka debate nae?
 
aongeze bidii kidogo michuzi inaanza kupwaya/kudororora
 
Nimeona mahala aki-analyse anguko la bei ya mafuta duniani lakini nimesikitika ameshindwa kuwa mkweli AU ameshindwa kusema kwanini hatunufaiki na anguko hilo la bei ya mafuta duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…