Huyu ndiye John Mashaka...

Nyani ngabu una mambo ya kike..sasa mashaka amekufanyaje? yaani watanzania ni wapuuzi umeona mashaka kuishi marekani kama wewe ni nongwa..mashaka ni jembe sana
 
ww umejuaje kama wana uwezo ?
 
John Mashaka a.k.a Mzee Mwanakijiji wa JF
 
Kwani Jonh Mashaka kashazawadiwa ukuu Wa wilaya!?
Mtake radhi John Mashaka, inawezekana humjui kabisa, yani mtu atoke wall street aje kuwa Dc? Masihara haya nafasi inayomtosha ni ya Gavana wa BOT.
 
John Mashaka ni nani wakuuu .?
Wengine tulikuwa below 18 wakati hii mada inaletwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…