Huyu Ndiye Jose Morinho

Huyu Ndiye Jose Morinho

IshaLubuva

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2008
Posts
250
Reaction score
11
Katika jitihada za kuwahadaa Barcelona ili apate ushindi, Mourinho ameamua kuwa atamchukua Luis Figo na kukaa naye kwenye Benchi la Ufundi la Inter katika mechi ya nusufainali ya leo usiku kama ilivyoripotiwa na mtandao wa Soccernet.
Nukuu,

"However, Mourinho confirmed former Portugal winger Luis Figo, a hate figure at the Nou Camp after leaving Barca to join Madrid as a player, will be alongside him on the bench tomorrow night".

Hii ni staili ambayo Morinho hupenda kuitumia sana kwa lengo la kuwavuruga waopinzani wake akili ili wapoteze mwelekeo na kumwezesha yeye na timu yake kuibuka na ushindi. Nini maoni yako mdau. Kwa maelezo zaidi tembelea hapa:

http://soccernet.espn.go.com/news/story?id=778274&sec=uefachampionsleague&cc=3888
 
Hii mechi yake na Barca lazima akaze buti laasivyo ataadhirika
 
Kwani Figo atacheza?kuwepo kwake Figo kwenye benchi la Inter ndio kutafanya washinde au ni wachezaji uwanjani ndio wanaleta ushindi.Lakini pamoja na yote leo Barca ndio kwishnei ingawa watasingizia ati Inter walikuwa 12 pamoja na Figo
 
leooooooooooooooooooooooooooooooooooo
barca ni kichapo tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Huyu jamaa anasifika kwa kucheza na waandishi! Hapo ameshawachanganya ni mtalaamu wa kucheza na saikolojia pia!
 
mke wangu pole sana, ni mpira tu hata kama Barca watatolewa, Mour hatari sana,
lakini wewe vumilia tu, ila nikija home leo usisite kunichemshia maji ya kuoga na kuninunulia juisi ya kunywa wakati naangalia game
 
mke wangu pole sana, ni mpira tu hata kama Barca watatolewa, Mour hatari sana,
lakini wewe vumilia tu, ila nikija home leo usisite kunichemshia maji ya kuoga na kuninunulia juisi ya kunywa wakati naangalia game

Asante sana Afadhari hii pole jamani itanisaidia kupunguza maumivu hata kama litakalotokea litanikatisha tamaa lakini leo Barca na imani kubwa wataondoka na ushindi...
sitaki kupinga lakini
 
KWe kwe kwe lakini Mourinho is having a big mountain to climb, kama akiingia na mentality kwamba the game is over imekula kwake lakini akijua kwamba the game is on its second half hapo Barca kwishinei
 
KWe kwe kwe lakini Mourinho is having a big mountain to climb, kama akiingia na mentality kwamba the game is over imekula kwake lakini akijua kwamba the game is on its second half hapo Barca kwishinei

who told you? Barca si wamesha jishindwia siku nyingi. Leo ni kupigia mstari tu na kuweka matokeo kwenye notice board. Ni formality tu! kwikwikwi
 
Washabiki wa Barca poleni saana,maana sipati picha leo mtakavyo nywea na baridi hili Bongo!
 
FL1 ,endelea kujipa moyo maana usipofanya hivyo ukija kushuhudia kichapo usiku unaweza usimpe mzee chakula cha usiku kwa hasira!
 
baka lazima atoke leo
hakuna jinsi
ni hayo tu
 
Msiojua soka mnaangalia mechi hii kwa jicho la Morinho, Barca at Camp Nou is another team that is capable of thrashing Inter and go through let's wait and see mtaniambia kesho
 
mind game kama kawaida yake mourhino.bacelona mtihani wao mkubwa sana leo na kitendo cha wao kwenda kushambulia kama nyuki ndio inter milan watapata nafasi rahisi ya kufunga magoli ya counter attack.kama nawaona etoo na sneijder.

i hope bayern will win it coz i cant stand mourhino and barcelona either.kama mourhino asingekuwa kocha wa inter ningependa inter washinde.

may the best team win .
 
Msiojua soka mnaangalia mechi hii kwa jicho la Morinho, Barca at Camp Nou is another team that is capable of thrashing Inter and go through let's wait and see mtaniambia kesho
tatizo ni kwamba inter pia watashambulia na watapa goli sio kwamba wataenda kupaki bus golini kwao tu na kusubiri barcelona wawashambulie.


inter wana beki nzuri sana na wamekamilika midfield pia.kama barcelona kweli wataweza ku-over turn matokeo na kwenda fainali basi wana stahili heshima zote duniani kwenye soka.
 
First Lady tuko pamoja hata amuongeze Figo leo inter milan lazima wachapwe, hata wafanyeje na watapigwa 2- 0, basi na safari yao itakuwa imeishia hapo hata kama ataomba na msaada wa Hiddink watachapwa tuuu. Na leo Messi ndo watamjua ni nani,. Tulio Spain huku ndo tunajua sumu ya Barcelona wakiwa Nou Camp. Anachofanya Maurinho ni kujifariji na kutaka kucheza na saikojia ya wachezaji. Japo mpira ni dk 90 tusubiri ila tusikimbiane hapa jukwaani. Ila leo natabiri Barcelona 2, intermilan 0. Bercelona Oyeeeeeeeeeeeeee!
 
Back
Top Bottom