Mi jana nimefurahi sana kwa sababu hawa Barca pamoja na vipaji walivyo navyo, kuna kusaidiwa sana na ile imani kuwa wao wanaweza na hakuna wa kuwazidi......hasa ukiangalia walivoidemolish Arsenal 4-0 pale Nou camp..... kumbe wanasaidiwa sana pia na the fact kwamba wao na real madrid wanacontrol sehemu kubwa ya televison ads huko La liga so wako na hela ya kufa mtu, na hata waki dive au marfa wakiwapendelea, hicho kinaonekana cha kawaida
jana niliona kama refa anawauma sana Inter lakini waligangamala hadi Mwisho....ijapokuwa JM alihkuwa na walinzi tangu afike Barcelona pale kwa sababu ya hostilities
how do u explain the fact kwamba barca possesion ilikuwa 75% na bado hawakuweza kuwafunga idadi ya magoli yalotakiwa (actually lile moja si offside?)
pole FL1!