Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
congratulations to jose mourinho ,kila siku nasema kila timu inabebwa but inategemea ni jinsi gani mnatumia hizo nafasi.kama inter wangekuwa 11 barca wangeweza kushinda but ile red card ndio iliwafanya inter wakaze but.nicklas bertnder,dimitar berbatov,david ngog ni bora kuliko zlatan ibrahimovic
Arsenal is not a football team ...is a bunch of boys! learning how to play footie. Sasa hivi Arsenal wanajandaa na kugombea kombe la Emirates. Emirates Cup tournamount has been announced!!!
AC Milan
Celtic
Lyon
Arsenal
Nadhani kila mwaka Arsenal huwa wanachukua hili LOL!
u cant be serious !
Huyo jamaa ni mzigo tu hamna lolote Barca wanajuta kumuuza Etoo
Man U watasemaje na BerbatOFF?
hakuna siku nimepata raha ya soka kama jana..yaani Mourinho mchezaji ana[ewa kadi nyekundu yeye anacheka..hahaaaaaa ... Jose ni kocha mzuri sana nakumbuka aliwahi kuwaambia wachezaji wa chelsea katika moja ya mechi za EPL kuwa ,we cannot loose but iam not forcing you to win!!! this alone inawapa wachezaji motivation ya kutosha..Go Inter Gooo!!
tank yuuu, mi nampenda Mourinho sana, ila naipenda Liverpool, na vile vile nawachukia Barca vibaya mno. Uko sahihi.Tehetehe!...jana watu wengi walikuwa (tulikuwa), Inter Milan coz of two or more factors.....
1. Sisi wengi ni mashabiki wa Madrid (we hate Barca)
2. Sisi wengi ni Arsenal (4-1 nightmare still hautnt us)
3. Sisi wengi ni Chelski (unakumbuka mwaka jana nusu fainali nazengwe lao)
4. Sisi wengi ni Man Utd (kipigo cha fainali mwaka jana, real sucks!)
5. Sisi wengi we hate Seria A football but love Jose M (y?, coz ana maneno mengi kama m-bongo, tehetehe!)
Tehetehe!...jana watu wengi walikuwa (tulikuwa), Inter Milan coz of two or more factors.....
1. Sisi wengi ni mashabiki wa Madrid (we hate Barca)
2. Sisi wengi ni Arsenal (4-1 nightmare still hautnt us)
3. Sisi wengi ni Chelski (unakumbuka mwaka jana nusu fainali nazengwe lao)
4. Sisi wengi ni Man Utd (kipigo cha fainali mwaka jana, real sucks!)
5. Sisi wengi we hate Seria A football but love Jose M (y?, coz ana maneno mengi kama m-bongo, tehetehe!)
Mkubwa ni mshabiki wa Barca but sipendi timu inayocheza pasi 200,possesion 85% then hakuna goli
Jamaa walizidi kuwa overrated ,huko Italia sijui watampa nini Mourinho