Huyu ndiye Mayele, MVP wa Mwaka huu

Kommando muuza madafu

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2022
Posts
3,216
Reaction score
7,254
Nimeona nami Mjukuu wa Chief Hangaya nichangie kidogo katika hili kwani nimeona wachambuzi njaa wengi pamoja na yule semaji lenye mikosi Tanzania a.k.a Popoma la MUM bwana Ahamed Ally Kisauti wanalaumu na kusema Kibabu, kazee ka kulalamika Ntibanzokinza anastahili u MVP.

Kitakwimu Mayele 2022/23
โ˜‘๏ธ Fiston Mayele ndiye mchezaji pekee aliyefunga magoli mengi zaidi Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โšฝ 02 - Ngao ya jamii.
โšฝ 17 ๐Ÿ…ฐ๏ธ04 - Ligi kuu
โšฝ 02 - FA cup
โ˜‘๏ธ Fiston Mayele ndiye mchezaji pekee aliyefunga magoli mengi zaidi kwenye michuano ya (CAF) 2022/23.

โšฝ 07๐Ÿ…ฐ๏ธ01 - CAF Preliminary round
โšฝ 07๐Ÿ…ฐ๏ธ04 - CAF Confederations cup.
TOTAL = โšฝ 35 + ๐Ÿ…ฐ๏ธ09

Mayele ana ;
๐Ÿ† Ubingwa wa ligi kuu
๐Ÿ† Ubingwa wa FA
๐Ÿ† Ngao ya jamii

Pia ana
๐ŸŽ–๏ธ Medali ya fainali CAF
๐Ÿ† Mfungaji bora CAF
๐Ÿ† Mfungaji bora ligi kuu ANBC
๐Ÿ† Goli bora ligi kuu

TUJIKITE KWENYE TUZO ya (MVP) ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
ยป Katika magoli (17) aliyofunga Mayele kwenye Ligi kuu, yameamua moja kwa moja jumla ya michezo (9). Kila Mchezo alama 3 ร— 9 = 27.
Ame score alama (27) peke yake na kuifanikisha Yanga kutwaa Ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara ๐Ÿ† ....

Katika points (78) za Yanga Mayele kachangia points (27), point nyingi zaidi kuliko mchezaji yeyote ligi kuu.

Kwa upande wa Kakongwe
ยป Magoli (17) ya Saido Ntibazonkiza, yame-score alama (15). Magoli mengi aliyofunga Saido yalikuwa Additional , timu ikiwa tayari inaongoza.
Hii ndiyo michezo aliyoiamua Saido akiwa Simba SC na kuipa Simba point (09) kati ya points (73) za Simba SC.
โšฝโšฝโšฝ vs Prisons
โšฝโšฝโšฝโšฝโšฝ vs Polisi Tanzania
โšฝโšฝ vs Coastal

Kwa kifupi, wengi wanaohoji kwa nini Mayele kapata tuzo ya MVP na sio Saido hawana data, wanaongea kishabiki.

๐Ÿ…ฟ๏ธ 27 - Mayele
๐Ÿ…ฟ๏ธ 15 - Ntibazonkiza

Kitu kilichopigilia msumali wa mwisho kwenye jeneza, ni Ubingwa. MVP Mayele kaipa Ubingwa timu yake kwa kuchangia asilimia kubwa ya points kuliko mchezaji yoyote.

Ndio maana Haaland ni MVP wa EPL 2023 ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ kwa sababu amechangia points nyingi zaidi kwenye Ubingwa wa Man city kuliko mchezaji yeyote.

Andy Boyeli ni top scorer wa Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ, amechangia points nyingi kwenye Ubingwa wa Power Dynamos that's why amechaguliwa kuwa MVP wa ligi ya Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ 2023 etc

Hongera FM kwa kuwa MVP, Umedeserve pia hongera kwa ile Pisi kali iliyopokea Tuzo yako japo kwa huyo wa kiume, mhhhh ni mdaka mishale tu.

 
Ni mjinga Tu anaweza kubeza Mayele kua MVP. Yaani hata mtu asiyefatilia soka la bongo ukimuuliza Leo hii akutajie mchezaji mmoja tu anayemjua bila shaka atamtaja Mayele..
Unajua Kwanini? Kwa sababu ni Bora mtu kuchangia pointi 27 out of 78 si masikhara ujue... [emoji848]
Hongera Fistoni hata msimu uliopita ulisitahili hii tuzo
 
Mayele sio mzuri wa kufunga hatrick au hata goli mbili kwa mechi

Ila ana uhakika wa kukupa goli 1 kila mechi, kwangu mimi huyo ni mchezaji bora amestahili

Kilichomkosesha saidoo ni simba kukosa ubingwa, lakini takwimu zake za assist ni balaa
 
we ni E
 
Shirikisho la waliofeli fc bana
Kagere atabak kuwa mshambuliaji Bora ligi kuu
 
Ulitakiwa ujue ubora wa mchezaji ili kupata MVP unapimwa kwa kutumia takwimu za mchezaji kwenye NBC Premier league tu, hizo takwimu za kuwafunga ZALAN hazihusiki hapa.

Pili unaposema Mayele aliamua matokeo pekee yake ni kuwakosea heshima wachezaji wengine waliotimiza majukumu yao na kuhakikisha timu yao inapata ushindi.

Unapodai kwamba Mayele kachangia point 27 yeye pekee yake kati ya point 78 za Yanga inaonesha jinsi gani usivyothamini mchango wa kina Job, kapteni Mwamnyeto na mdaka mishale Diarra aliyehakikisha lango linakuwa salama.
 
Shirikisho la waliofeli fc bana
Kagere atabak kuwa mshambuliaji Bora ligi kuu
Vitu vingine bwana, Kagere kachukua tuzo wakati timu zipo 20 na wakati huo timu hazikuwa funded na AZAM, Timu zilikuwa zinakosa nauli ya kwenda kucheza na bingwa alikuwa anapata milioni 80 tofauti na sasa. Sijui kwa nini nyie vijana wa sasa mna low iq na mnalazimisha ushabiki.
 
Umejitahidi kumtetea huyo mmeo. Mayele. Endelea kulea mimba yako ya mapacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ