Huyu Ndiye Mchumba wa Ommy Dimpozi?

Ukimuonyeshaonyesha demu wako unaitwa limbukeni,ukifanya kwa siri unaitwa anithi
 
I like Ommy Dimpoz,hana matatizo na mtu....ni very unfair kumchimbachimba....Binamu stop it bhana.......
 
I like Ommy Dimpoz,hana matatizo na mtu....ni very unfair kumchimbachimba....Binamu stop it bhana.......
Hahaha hata wasio na tatizo na mtu wana jadiliwa.
 
Huyo atakua ni video model wake kwenye nyimbo mpya maana omy ndio demu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…