Huyu Ndiye Mchumba wa Ommy Dimpozi?

huyo atakuwa rafiki yake nahisi ahahahahahaaaaa
 
Juzi kati kuna mademu tulikuwa nao kwenye party wakawa wanamuongelea jamaa demu mmoja akasema jamaa ana busha ndo maana haangaiki na mademu hapa daslam

Itabidi nianze kuifuatilia hii issue,hasa kwenye mwendo wake!!!!
 
Basi tu yani sijawahi kumkubali hata sekunde
afu namchukia tu bila sababu...

Binadam bwana,eti unamchukia mtu bila sababu.Kumbe nyie ndo mwaitwaga mahater ee?Hater ukimuuliza kwanini unamchukia fulani anakujibu "Basi tu"
 
Binadam bwana,eti unamchukia mtu bila sababu.Kumbe nyie ndo mwaitwaga mahater ee?Hater ukimuuliza kwanini unamchukia fulani anakujibu "Basi tu"
Hil vaz lake la juu na pozi kwa kweli sijaelewa au ndo poz kwa poz
 
Hil vaz lake la juu na pozi kwa kweli sijaelewa au ndo poz kwa poz

ha ha ha haaa mavazi haya akivaa BECKHAM inakuwa fashen na kila mtu anavaa,ila kwasababu kavaa dimpoz kwa pozi mnaaza sijui lakike mara ..........!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…