Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Binadam bwana,eti unamchukia mtu bila sababu.Kumbe nyie ndo mwaitwaga mahater ee?Hater ukimuuliza kwanini unamchukia fulani anakujibu "Basi tu"
Hil vaz lake la juu na pozi kwa kweli sijaelewa au ndo poz kwa poz
Hiyo ni top dress kakosea kuvaa na jeans ya hivo
angevaa skin jeans au tight
Naona kama nimemuona mke mwenzangu lol....
Ndo hivo sijawahi kumkubali nifanyeje sasa
Hil vaz lake la juu na pozi kwa kweli sijaelewa au ndo poz kwa poz
una uhakika na uyasemayo bibie?
Kumbe wali nazi nao wanakuaga na mademu?
Ndo hivo sijawahi kumkubali nifanyeje sasa
Ukimuonyeshaonyesha demu wako unaitwa limbukeni,ukifanya kwa siri unaitwa anithi
Mi napenda nyimbo zake ila yeye simkubaliiiiii
Haya poa mi hapana kwakweli....
------- na sio anithi
Hata kale kanyimbo hukapendii kale kapyaa
Anamegwa sasa si tufanyeje