Hiyo picha ana sura ya kiume japo katoga sikioMadem wenye chunusi watamu hatari.
Ngozi Ina mizizi ya vinyweleo na Kuna gland zinazotoa mafuta. Sasa hiyo mizizi ya vinyweleo vikizibwa na mafuta na ngozi iliyokufa basi husababisha chunusi na wakati mwingine hupata maambukizi ya bakteria.fafanua
Swali, kwa nini uyo mdudu anaibuka kipindi cha balehe? Connection kati ya balehe na mdudu inatokea wapi?Pitapita zangu mitandaoni nikakutana na hiki kitu kuwa huyu ndie mdudu anaekuwepo usoni na nakusababishia chunusi hizi tuzionazo baada ya balehe👇
Ni mabadiliko ya mwili vinatokea ambavyo avikuwepo ni sawa na kuota ndevu au titi,swali, kwa nini uyo mdudu anaibuka kipindi cha balehe? Connection kati ya balehe na mdudu inatokea wapi?
Ngozi, kinywani na tumboni ndizo sehemu zenye bakteria wengi zaidi mwilini.. mabilioni ya bakteria.. hivyo kama huyo bakteria anaishi ndani ya vishimo vya vinyweleo lazima awemo kwenye mchanganyiko huu wa mafuta,usaha na bakteria uitwao chunusiswali, kwa nini uyo mdudu anaibuka kipindi cha balehe? Connection kati ya balehe na mdudu inatokea wapi?
Mkuu na vipi muwasho unahisi ninin kinasababisha? ikiwa external skin ikitambaliwa na mdudu washawasha utajikuna na tupele tutatokea sehemu husika je internal skin kuna nin kinaleta muwasho na kujikuna kisha kuleta vipele hivyo?Ngozi Ina mizizi ya vinyweleo na Kuna gland zinazotoa mafuta. Sasa hiyo mizizi ya vinyweleo vikizibwa na mafuta na ngozi iliyokufa basi husababisha chunusi na wakati mwingine hupata maambukizi ya bakteria.
Hii nimejitahidi kuelezea kwa kifupi sana na kiurahisi
Elimu nzuri mkuu enheee endelea sasaNgozi, kinywani na tumboni ndizo sehemu zenye bakteria wengi zaidi mwilini.. mabilioni ya bakteria.. hivyo kama huyo bakteria anaishi ndani ya vishimo vya vinyweleo lazima awemo kwenye mchanganyiko huu wa mafuta,usaha na bakteria uitwao chunusi
Kipindi cha balehe ngozi huzalisha zaidi mafuta ambayo hadi mengine yananasa ndani ya vinyweleo.. yakishanasa inamaana seli zilizokufa hazitolewi zinanasa humo pia bakteria mbalimbali (sio aina moja tu) wa kwenye ngozi nao hunasa humo.. kitendo hiki hufanya kinga ya mwili kujibu kwa kupeleka majeshi ya ulinzi ndani ya vishimo vya vinyweleo(inflamatory mediators ikiwemo seli hai nyeupe za damu unazoona kama usaha ukibinya chunusi) na kusababisha kuvimba na kutokeza kama mapele juuelimu nzuri mkuu enheee endelea sasa
Tuombe serikali waongeze tozo kwenye microscope ili tusishawishike kununua ili tum-zoom mdudu😀ndo upo nae humo
Huyo mdudu ni kweli yupo usoni?Kipindi cha balehe ngozi huzalisha zaidi mafuta ambayo hadi mengine yananasa ndani ya vinyweleo.. yakishanasa inamaana seli zilizokufa hazitolewi zinanasa humo pia bakteria mbalimbali (sio aina moja tu) wa kwenye ngozi nao hunasa humo.. kitendo hiki hufanya kinga ya mwili kujibu kwa kupeleka majeshi ya ulinzi ndani ya vishimo vya vinyweleo(inflamatory mediators ikiwemo seli hai nyeupe za damu unazoona kama usaha ukibinya chunusi) na kusababisha kuvimba na kutokeza kama mapele juu
Si kweli Mkuu kwa hoja zifuatazo:-Pitapita zangu mitandaoni nikakutana na hiki kitu kuwa huyu ndie mdudu anaekuwepo usoni na nakusababishia chunusi hizi tuzionazo baada ya balehe[emoji116]
View attachment 2284255
wanasema unapobinya chunusi hutokea weupe ule weupe unakuwa umetoka kwa huyo mdudu yaani umemfinya yeye na damu yake ndo inaachia mabakabaka usoni au eneo husikaView attachment 2284267View attachment 2284268
swali kwa wataalamu je ni kweli?
NB: uzi usipelekwe jf doctors sitafuti tiba, bali mawazo na hoja za watu juu ya hilo swala.