Pasha kiporo moto bwana [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikuwa zaman hizo sjawa na shemeji yako
Ni wa sweetle?Hahahha sweetlee
Hahaaaa punguza uoga shoga kula kitu Roho inapendaNitageuzwa msukule kabla ya sku zangu
Hapana nimetumia wakat uliopitaaa enzi hizooo
Sio mimi mkuu ila nimemtaja mtu mwenyewe ni mtu chakeEti ni wewe mkuu
Unataka mwenzio alogwe au?Hahaaaa mwambie tu shoga wala haidhuru
Sikuhizi shemeji makali yamepunguaUnataka mwenzio alogwe au?
Haha. Ukimya wake sio kwamba kapooza makali bali ameenda ku update uchawi saizi kapanda vyeo.Sikuhizi shemeji makali yamepungua
Hahaaaaa hana ubavu huoHaha. Ukimya wake sio kwamba kapooza makali bali ameenda ku update uchawi saizi kapanda vyeo.
Shauri yako.