Huyu ndiye Mpenzi wa Omary Faraji Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz Mr. PkP

ChickMagnet

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
2,676
Reaction score
3,451
Ommy Dimpoz amefunguka na kudai kuwa mitandao ya kijamii imempa mpenzi.
Ommy amekiambia kipindi cha XXL cha ya Redio Pendwa Clouds FM kwenye kipengele cha 255 kuwa yeye na msichana huyo waliweza kukaa kwa muda wa mwaka mmoja wakichati bila kuonana.
“Social network zilisaidia kutuunganisha lakini matokeo yake mpaka tukaja kuonana. Mpaka nikaja kwenye tour tukaonana, si unajua kuna zile mzee unashangaa ma Instagram mtoto ka like picha kama tisini hivi, halafu ukichekecha unaona mbona kama umechorwaee ,bahati nzuri ilipoanzishwa instamessage kwahiyo kama unajiiba hivi.
Ni Mtanzania, mpaka kuonana ilichukua kama mwaka, tumechat tumechat mpaka ikafikia time, sina haraka kwanini niwe na haraka, kuamiana kunakuja automatically,” alisema.
“Unajua mambo ya mapenzi Mungu mwenyewe ndio anajua, pengine wengine anaweza wewe ukawa muuza mkaa demu akaja kununua mkaa.
Lakini lile kopo unavyolishika kimachejo wakati wa kupima yeye anapenda ule upimaji wako, kwahiyo kuna kitu kama hivyo haijalisha mnakutana wapi, ikiwa tu mmewekea mipaka yenu, masharti hivi na hivi maisha yenu yanaenda.”
 

Attachments

  • Dimpozz.jpg
    70.9 KB · Views: 1,804
  • Dimpoz2.jpg
    71.1 KB · Views: 1,711
Hmm mtu mzima saaana.....but age ain't nothing than a number
 
Hongera Ommy D ndiyo faida ya mtu kuwa na kipaji.
 
Me nilidhani yeye ndo amechumbiwa..!!
 
ahahahahaaa ommy anagonga pazuri aiseeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…