Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,654
Reaction score
8,564
Anaitwa AMBWENE YESSAYA AKA AY ni mmoja wa wasanii ambaye ana mafanikio makubwa sana kimuziki kuliko msanii yeyote yule hapa nchini Tanzania, vile vile yeye ndiye msanii wa kwanza Tanzania kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa mpaka ulaya. Historia yake ya muziki ilianzia miaka 1998.

-Pesa yake ya kwanza kurekodi ngoma studio alipewa na mama yake Tshs 20000/=
-Ni mkulima (ana mashamba ya mpunga zaidi ya heka 100 huko ifakara Morogoro
-Ni mjasiriamali mwenye biashara nyingi ikiwemo duka la nguo
-Ni mmiliki wa vipindi vya TV vya MKASI na NGAZI KWA NGAZI vinavyorushwa EAST AFRICA TV

-Anamiliki kampuni ya UNITY ENTERTAINMENT inayojihusisha na uwakala wa kazi za sanaa, matangazo na kuunganisha wasanii, pia kuleta wasanii wa nje


CONCLUSION: HAYO NI MACHACHE KUHUSIANA NA SUPER LEGEND AY MZEE WA COMMERCIAL
 
Anamiliki kampuni ya Unity Entertainment, wakati in the same time nasikiwa kasaini na sijui na kampuni ya Babu Tale,or somebody else,ila kasaini kwa mtu tena recently tu.

Therefore kwenye medani ya biashara za ku-manage wasanii na biashara ya muziki kwa jumla hajafaulu...unaendaje kusainiwa kama msanii kampuni ya mwingine yako unamwachia nani?

Na pia, hizi taarifa za mali na mafanikio ya biashara kwa wasanii hua siamini takwimu,kiasili wasanii wote wanakuza vitu mara tatu zaidi ya ukweli just kujenga taswira ya showbiz, nothing more.

Hizo takwimu mi zitakua halisi kwangu kama nikizichukua na kugawanya kwa 3.

Na pia niweke wazi mrengo wangu, AY na MwanaFA nawachukia tu,sijui kwanini,I can not stand these guys...mi sio mnafiki,I hate these ni.ggaz for the sake of it....unajua kuna watu tu hua unawachukia bila sababu,basi kwangu mimi ni hawa jamaa,...basi tu,na sitaki ushauri [emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…