Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

kumbuka kuwa akina chrissbrown wanamanage watu na wao wanamanagia pia kama SONY INTERTAINMENT
Eboooooo wapi niliposema sijui iki kitu au wapi nilipozungumziwa msanii kusimamiwa huku akiwa anawasimamia wasanii wengine eboooo
 
Eboooooo wapi niliposema sijui iki kitu au wapi nilipozungumziwa msanii kusimamiwa huku akiwa anawasimamia wasanii wengine eboooo
si umesema anasimamiwa na Babu tale na Salamu
 
Gynacomastica syndrome
 
Ni kweli kabisa usemacho, na utajiri wake kwasasa ni 5.6b$.
Mambo ya kitoto haya! Hii umeitaja fedha serikali yenyewe inaiota ktk ndoto kuikamata cash na kuitunza ipumzike BOT angalau mwezi mmoja bila kuitoa. Mambo yenu ya kitoto pelekeni facebook na whatsap sio hapa kwa Great Thinkers JF.
 
Mambo ya kitoto haya! Hii umeitaja fedha serikali yenyewe inaiota ktk ndoto kuikamata cash na kuitunza ipumzike BOT angalau mwezi mmoja bila kuitoa. Mambo yenu ya kitoto pelekeni facebook na whatsap sio hapa kwa Great Thinkers JF.
kwani inakuja bei gani Tsh?
 
hivi umenielewa kweli nilichoandika mwanzoni
"Jamaa yupo vzuri ila alichonikera ni kukubali yule mzima mic Sallam awe meneja wake"

iki ndio nilichokisema nikimaanisha namkubali jamaa ila kitu nisichokipenda toka kwake ni kuwa Sallam mtu ambae simkubali kabisa kutoka na tabia zake kuwa meneja wake.

Wewe umekuja na mada mpya kuhusu unaweza kusimamia watu na wewe ukawa unasimamiwa ndio niliposhangaa mada ya namna hiyo umeitoa wapi na kwanini unadhani mimi siyajui hayo?!
 
kwani inakuja bei gani Tsh?
Kwanza ujue bilioni 1 = 1,000,000,000
Sasa hiyo $5.6 bilioni mi hii
5.6 x 1,000,000,000 x 2200(exchange rate ya USD to TZS) = ??? Jaza jibu mwenyewe. Umeona hiyo mkuu?
 
kwani inakuja bei gani Tsh?
ni mambo ya kitoto kabisa ya kujipiga promo
unayemzungumzia ni huyu Yesaya aliyetoka Dodoma Kigamboni, na huko Nkuhungu walikosaidiwa na mtoto wa Kabongo?
au ni AY wa kwenu
msije kutuchokoza tukawabumbulushia minyuki
mabilionea wanajionesha sio kwa style yenu.
Mkikua mtajua tofauti ya TRA na HIT A JACKPOT
 
JIBU:
5.6×1,000,000,000×2,200
=Tsh12,320,000,000,000/-
Yaani ni Tirioni 12.32 fedha za kitanzania. Hiyo ni bajeti ya wizara ngapi ndogo?
Naomba kusahihishwa kama nimekosea.
Habari za kuaminika ni kuwa,kumbe sio 5.6 b$, ila ni 9.7 b$ kuna mtu wake wa karibu kaniambia hapa.
 
Habari za kuaminika ni kuwa,kumbe sio 5.6 b$, ila ni 9.7 b$ kuna mtu wake wa karibu kaniambia hapa.
This is sick! Na wewe umemuamini hata baada ya mimi kudadavua hizo namba? Huo ni utajiri mkubwa mno embu nenda katafute utajiri wa Bhakeresa au Mohmaed Dewj kisha linaganisha na ulichoambiwa na huyo mtu wa karibu na Ambwene kisha changanya na akili zako sio za kuambiwa tu kisha tuletee mrejesho hapa. Ukimkubalia huyo mdau alichokuambia basi jamaa atakudharau sana. Labda kama nae hajui hesabu na ana mtindio wa akili sijui wa ubongo.
 
Kama unawachukia ni bora ungekaanalo tu unazingua haina haja kuleta hapa

Yaani wewe ni theocrat,unahisi mawazo yako binadamu wote wayafate...who are u?

Kwanini unazenguka na ninamchukia ni mtu mwingine kabisa?

Dude,upenzi wako kwake ni wako na ni sawa kwa miwani yako na una ruksa kusemea hapa,na mimi nimechagua kutompenda na naweza semea hapa equally kama wewe,acha bangi dikteta uchwara!
 
Hivi nimesema 9.7 b$ ........ Hiyo nimekosea ni 29.7 b$.
 
Mimi simchukii mtu yoyote maana naamini hizo ni tabia za kike.

Ndio maana kabla hatujaanza kujadili hizo chuki zako za bila sababu kwa huyu jamaa nilitaka kujua jinsia yako.

Wewe ni JINSIA GANI?!

Mnafiki mkubwa,na unafiki ndio tabia ya kike kama hujui.

Binadamu wote tumeumbwa na chuki innately ya vitu au hali mbalimbali,kwahiyo kwa hoja yako the entire humanity ni wanawake?Chuki na hasira ndio imetawala zaidi ya upendo unajifaragua nao eti unao,this is hypocrisy of highest order.Na ujue unaongea na watu wazima hapa,huo uongo si mahali pake.

Acha unafiki and be a man for once.
 
Hivi nimesema 9.7 b$ ........ Hiyo nimekosea ni 29.7 b$.
Mkuu unajua dollar billion moja tu 1bill$ unajua ni shillingi ngapi za kitanzania[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Wallau uniambie anautajiri wa billion 2.9..ila sio USdollar weweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…