Huyu ndiye mwanamke na thamani yake!!..

No i don't,and i didn't mean that,sababu ya mama kufanya kazi leo ni matokeo ya malezi mabovu ya mumewe alipokuwa mdogo!

Nani alikuambia mtu anaweza akapanda farasi wawili na akafika salama aendako?

Tena ni hatari sana!Matatizo yote tuliyonayo ni matokeo ya hii kitu!Kama tunajipenda tubadilike!
Cha muhimu wanaume tusake mkwanja wa kueleweka, ili wake zetu wasipate tabu kupiga kazi kwanza itakua ngumu mana mabosi watatongoza tu, ya nini tugongewe wife bureee. So is up to us wanaume.

Mhhhhhh!!!! kwa mwendo huu bado tuna jukumu kubwa sana wanawake..........................Pole Eiyer

Bahati mbaya Karen jukumu lenu hamlitaki siku hizi!Too bad isn't it?

Cha muhimu wanaume tusake mkwanja wa kueleweka, ili wake zetu wasipate tabu kupiga kazi kwanza itakua ngumu mana mabosi watatongoza tu, ya nini tugongewe wife bureee. So is up to us wanaume.

Hata umiliki dunia yote atadai anayoiita haki yake ya kuvurugana na kazi huku wanae wakilelewa na house girl alietelekeza wanae watatu kwa kushindwa kuwalea!!

Bahati mbaya Karen jukumu lenu hamlitaki siku hizi!Too bad isn't it?

Eiyer STOP pushing it!!!! Please..... Usione Kimya ukajua kua you are absolutely RIGHT!!

Rose mbona ukali tena?!
Kwa hili hata mm nakuunga mkono kwa asilimia kadhaa lakini pia bado hamuwez kukwepa lawama ninyi kama wanawake.
Wanaume pia tunapaswa kulaumiwa kama tutajadili matoke kama ulivyofanya wewe hapa. But kumbuka hii thread inazungumzia chanzo cha tatizo na sio matokeo ya tatizo na pia wakina baba kutelekeza familia zao chanzo inaweza kuwa ni malez mabovu waliyopata kutoka kwenu wakina mama na ndio thread hii imechambua.

Ukengeufu hautazuilika... Kwa hiyo lazima watu waache uasili wakomae na maisha ya ki artificial ili wakengeuke zaidi. Mazingira, uzembe, umakusudi, kutokujua nk vinaweza kusababisha hayo. Lkn hayo yote hayaondoi ukweli... Ukiisoma mada hakuna sehemu ameonyesha chuki kwa wamama, amelaumu jamii kwa ujumla na akaweka mkazo kwa wamama kwa sbb mada inamulika eneo 'lililokuwa'jukumu la wamama! Jamii imepotoka sana, angalia hapa kizazi hiki kilicholelewa 'hewani' unakuta familia inajiweza, wana biashara kubwa au baba ana kazi/pato kubwa na anaihudumia familia vizuri lkn humkuti mama nyumbani! Na yeye anakomaa 'kuongeza pato'. Sasa hivi ukienda baa utakuta idadi ya wanaume na wanawake ni karibu sawa... Na jamii inaona sawa tu. Ila kwenye mijadala kama hii wanaume ndio walevi!!! Kizazi hiki kinajaribu kupambana na tatizo la kiuchumi kwa gharama ya kuvunja muundo wa familia na malezi!!!

Hao ambao hawajaolewa watafukuzwa kwao?Halafu huyu ambae hana familia sio mbaya kufanya kazi.Kuhusu housegirl,kuna methali inasema uchungu wa mwana aujuae mzazi!

Hata umiliki dunia yote atadai anayoiita haki yake ya kuvurugana na kazi huku wanae wakilelewa na house girl alietelekeza wanae watatu kwa kushindwa kuwalea!!

haaah so tufanyeje?mana umewapa ukwel hapa wanakuja juu mno, dah nimeamin ukwel unauma!
Ila nasi pia wanaume tuna makosa kwa upande fulani

Eiyer STOP pushing it!!!! Please..... Usione Kimya ukajua kua you are absolutely RIGHT!!

Truth must come out no matter what!!

haaah so tufanyeje?mana umewapa ukwel hapa wanakuja juu mno, dah nimeamin ukwel unauma!

Ila nasi pia wanaume tuna makosa kwa upande fulani

I knw but sisi makosa yetu yanasababishwa na wao!

I realy like this!!!!

EXACTILY!!!!....

Hivi kazi ni za ofisini tu?
Mbona vijijini sehemu kubwa wanawake hawafanyi kazi za ajira (kama hizo ndio mbaya) na bado malezi ni duni? Nadhani ni mfumo wote umeenda kombo na sio tu wanawake eti wanataka kujilinganisha na wanaume. Na kama wapo si wote. Wako wanawake wanaofanya kazi na bado wanalea watoto wao vizuri tu. Upungufu nionavyo mimi ni wa jamii kwa jumla sio wanawake tu. Hakuna watoto kama sio mahusiano ya wanawake na wanaume. Hivyo malezi yanapaswa kufanywa na wote. Familia ikipangilia vizuri bado muda wa malezi ya watoto kwa namna stahiki yatapatikana.

Mada japo nzuri lakini imeangaliwa kifinyu kwani kuna mambo mengi yamehusika kuifikisha jamii hapa.

Eiyer

Naomba kuuliza kabla sijakomenti je wewe unakumbu kumbu mbaya za utotoni?

Nataka kuelewa imekuwaje umeandika uliyoandika.

Nimeandika haya kutokana na uchungu wa yanayotokea kwenye jamii yetu,sina kumbukumbu yoyote mbaya ya utotoni!

Unaposema malezi duni unakuwa unamaanisha nini?

No i don't,and i didn't mean that,sababu ya mama kufanya kazi leo ni matokeo ya malezi mabovu ya mumewe alipokuwa mdogo!

Eiyer, nilikuuliza hivi wanaume wengi wa kiafrica wamefundishwa na mama zao kushinda vilabuni wakinywa pombe?? Coz hii tabia nimeiona imeanzia toka enzi za mababu na imeathiri sana jukumu la baba katika kulea, na wengine ndo hao wanakuwa addicted wanaishia kuondoka nyumbani alfajiri na kurudi usiku wakiwa chakari wasione hata nyuso za watoto wao na wala wasijue hata hali zao. Wengine ndo kabisa wanakuwa unsound minded na kuanza kuporomosha makonde kwa wake zao bila sababu!! Kwa ukanda wa Pwani every day wababa wamerithi hii tabia ya kuwa wanashinda wakicheza bao kwa majirani asubuhi mpaka jioni na wasiache hata hela ya sukari na akirudi ndani mkali kama mbogo eti nae utamtetea ni malezi ya mama yake.....lol!! Hayo hamyaoni? Wababa wenyewe mnakuwa icon mbaya kwa watoto wenu!!!

Ni kweli tatizo la ulevi lipo tangu siku nyingi,nikuulize swali hiyo zamani unayoizungumzia ni ipi?Je unajua wanawake walianza kufanya kazi?Apart from that unapomuona baba ana tabia hizo sababu kubwa ni malezi na wakati mwingine vurugu za mke anaamua kutumia pombe kama tulizo,lakini hata huyo mwanamke mwenye vurugu nae ana matatizo yaleyale ya kimalezi,tunarudi kulekule!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…