Huyu ndiye mwanamke na thamani yake!!..

I hear i forget, I see i remember, I do i understand,nataman dadaz wangeelewa zaid maana hili ni lao.

I hear i forget, I see i remember, I do i understand,nataman dadaz wangeelewa zaid maana hili ni lao.

Wamesikia na wameelewa pia!

NAMSHKURU MAMA YANGU ALIEKUBALI KUACHA KAZI MPAKA LEO KWA AJILI YA KUNILEA , ALILIONA HILO
NANI KAMA "MAMA"
BEKI TATU HAJUI KULEA MATUSI YAMEMJAA MDOMONI,
DAH wanawake hapa hakuna ubishi mmenyweshwa sumu kama waasi wa gadafi

Mama yako aligundua anachotakiwa kufanya,aliona mtoto ana thamani kuliko kazi!Mpe pongezi mama,huyo ni mama wa ukweli!

Mama yako aligundua anachotakiwa kufanya,aliona mtoto ana thamani kuliko kazi!Mpe pongezi mama,huyo ni mama wa ukweli!

mmh! My bro Eiyer umeguswa sana na hili eeh? Haya bana leo mi sina cha kuchangia napita tu!

Wanataka usawa haoo!.. Sijui nani kawaambia kuwa mwanamke miaka ya sasa huwa sawa na mwanaume, sijui ni nani huyoo!!.. Na ndio maana familia zinaharibika hazipati malezi bora bali zinaambulia borb malezi!!...

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…