Huyu ndiye mwanamke tulizo la msanii nay wa mitego,hapa hachomoki na utata wake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Ney wa mitego aliamua kuziachia picha za mpenzi wake tandaoni kupitia akaunt yake ya instagram..!! tazama picha hapo chini









 
BASATA watumie huyu kufikisha ujumbe kwa ney kwamba jamaa anaimba ujinga
 
Mi naona wanafanana..sasa sielewi kama Ney ndio yupo kama demu au demu ndio yupo kama mwanaume!!
 
Huyu si siwema huyu inamaana wamerudiana alipomnusuru jela?!!!!
 
Vp Stunna Mzee wa pale Kati hachomoki kwa siwema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…