lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Wakuu,
Nimefanya research ndogo na kugundua kwamba kuna mwanamuziki moja tu anayeishi maisha yasiyo ya maigizo kama wenzake wanaoshinda wakiazima magari,nguo ,simu,viatu. Huyu anaishi maisha halisi naye ni K 4 REAL.
Bila shaka wakuu mnakubaliana nami hapa.
Jibu ni ndiyo