lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Kweli mkuu K 4 Real ndo msanii asiye na makuu na mtu. Wengine wote kazi ni kujishow show tu. Mtazame kiba hata maisha yake ya insta ni tofauti kabisa na wasanii wengi wa bongo.
Yeah, ndio maana namkubali sana Kiba kiukweli.Lifestyle yake tu inampa heshima bado good music....
Sio kwamba ana penda kuishi ivyo tatizo ela sasa akianza kununua nguo kibubu cha kujazia ela ya kufanyia video ya kale ka wimbo kake c kitaisha ela yote

Hamna loloteeeeee
Ndo maana hata wale waimba mchiriku wameanza kujistukia kwenye Ktm 2014. Team kiba wote kwa pamoja tupige kura jamani kumpa mwanamuziki wa ukweli. Sio hao wanaoishi kwa kutegemea skendo.

2015 jamani si unajua tena kutouch?
sio kweli coz huyu ndio mwanamziki mwenye mjengo hatari kuliko wote kiufupi jamaa ana swaga za kitoto kama kina fulani