Huyu Ndiye Rafiki kwa sasa wa Wema Sepetu

Hao ni comedian katika Bongo Movies,wao kila kitu wanaigiza na kuchekesha.
 
Hilo hata Martin alisha wah liongelea alisema wema anapenda kunyenyekewa kama malkia...

na dunia ya leo, atanyenyekewa kwa muda then watamtenga au kumuudhi. Maana yeye kuudhiwa ni kuchukiliwa bwana kama alivyomfanya penny na kajala.
 
Ukiona boylover wako anamla rafiyo au dadayo hujue unakasoro haswa za kitandani, au ndo tabia zenu, Ingawa wanaume huwa tuanarusha ndoano kwa rafiki za wapenzi wetu hivyo akinaswa jua siyo rafiki akupendaye.

Siku ukila mtu na rafiki ake ndo utajua kwanini....
 
Mmmh kumbe....

Hao ni wachafu Sijui wanaona raha gani kusagana na wanaume wa Kila aina WaPo nao aunt ezekiel,kajala na huyo wema wanasagana dunia nzima inajua wema na kajala ndio walikua wanaishi kama mke na mume kabla ya ugomvi wao
 
Mmmhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…